Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

Ila ukiwauliza wanatoa wapi huo mzigo hawatokaa wakupe hiyo siri ila Fredi umbea kujimwambafai na kuwaeleza watu ukweli ndio kulimponza, kama unabiashara yako kamwe usitoe siri za biashara kwa watu huu uzi utakuja kuupitia tena kuwa msiri na mkimya.
Siyo kwamba alitumika sana na chama chetu na wakubwa wa chama
 
Yanga Bingwa.
 
Sio kwake tu.

Hilo ni tatizo kubwa sana hapa Tanzania.

Tunapenda sana kuigana, hatuna ubunifu.

Mtu akianzisha jambo na likionekana linafaida kila mtu atataka afanye, mtaigana mtakuwa wengi mtaanza majungu na kulogana mwisho wa siku biashara inaharibika.

Wabongo ndivyo tulivyo.
 
Halafu mtu tangu ameanza kichochoroni mtasema kaenda kwa mganga
Ila kwa kuwa asilimia kubwa mnaamini haya basi tena

Biashara haitaki hata umshauri mtu afanye nini
Ukiwa na idea ifanyie kazi na kama una hela anza
Unamfundisha mtu kipato chako ni sawa sawa na kumuonyesha na kipato chako

Kuna jamaa alikuwa ana duka la rejareja akawa anakaa na mwenzie wa biashara tofauti
Ila duka lake linaingiza mara kumi ya mwenzie
Lorry likaingia akaanza kujisifia mzigo umefika hapo kwa haraka nini kiasi cha milioni kadhaa faida
Akaanza kuhojiwa na kwa kukitapa anasema yote
Jamaa baada miezi kafunga akafungua kama lake ila jamaa kamzidi vibaya sana kwa sasa
Waswahili mnapenda sana sifa za kijinga
Na vijiweni mkienda sijui kahawa ina tabia ya kuropoka?
 
Yanga bingwa🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…