Lyugi sana Member Joined Dec 11, 2020 Posts 31 Reaction score 19 Jan 19, 2021 #21 Sio kuwapita akina mama paka!
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Jan 19, 2021 #22 kavulata said: Hivi ni kweli kuondoka kwa Sven hakuwaumi Simba? Ndo maana imepigwa na yanga mapinduzi kwa upuuzi huu Click to expand... Tuumie nini sasa wakati alionekana amepwaya kwenye ile nafasi kitambo kirefu tu? Kwahiyo Sven angekuwepo tusingefungwa na Yanga?Kwani wakati tunafungwa na Prison huyo Sven hakuwepo Simba?
kavulata said: Hivi ni kweli kuondoka kwa Sven hakuwaumi Simba? Ndo maana imepigwa na yanga mapinduzi kwa upuuzi huu Click to expand... Tuumie nini sasa wakati alionekana amepwaya kwenye ile nafasi kitambo kirefu tu? Kwahiyo Sven angekuwepo tusingefungwa na Yanga?Kwani wakati tunafungwa na Prison huyo Sven hakuwepo Simba?
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Jan 19, 2021 #23 NAWATAFUNA said: Yanga mnajezi za madera zipo spesho kabisa mmezishona wenyewe. Akuna mwanamke mbea asievaa dera, yani piga uwa wanawake wambea awakosi madera kabatini. Click to expand... Tena Yana rangi ya kimbeya na kishambenga!πππ
NAWATAFUNA said: Yanga mnajezi za madera zipo spesho kabisa mmezishona wenyewe. Akuna mwanamke mbea asievaa dera, yani piga uwa wanawake wambea awakosi madera kabatini. Click to expand... Tena Yana rangi ya kimbeya na kishambenga!πππ