Kilichomkimbiza Sven ni kejeli za kufungwa na FC Platinum Zimbabwe

Kilichomkimbiza Sven ni kejeli za kufungwa na FC Platinum Zimbabwe

Hivi ni kweli kuondoka kwa Sven hakuwaumi Simba? Ndo maana imepigwa na yanga mapinduzi kwa upuuzi huu
Tuumie nini sasa wakati alionekana amepwaya kwenye ile nafasi kitambo kirefu tu?

Kwahiyo Sven angekuwepo tusingefungwa na Yanga?Kwani wakati tunafungwa na Prison huyo Sven hakuwepo Simba?
 
Yanga mnajezi za madera zipo spesho kabisa mmezishona wenyewe.

Akuna mwanamke mbea asievaa dera, yani piga uwa wanawake wambea awakosi madera kabatini.
Tena Yana rangi ya kimbeya na kishambenga!😆😆😆
 
Back
Top Bottom