Kilichomkuta dereva wa first choice (apollo)

Angejitolea japo mmoja wenu
ile dhamana ndugu au ukiwa tu na leseni unaendesha chombo cha watu? Gari lilipozimika watu walianza kumpa dereva huduma ya kwanza na gari ikawekwa pembeni na akachukuliwa kwenye ambulance nasi tukapandishwa ktk basi jingine
 
Usiwashangae wao walidhani ni mbwembwe tu za madereva, jambo ambalo silielewi ni kondakta na utingo walikuwa wapi wakati huwa wanakaa mbele na dereva!
kukaa karibu ni jambo moja na kulipokea jambo kwa wakati ni jambo jingine,sitaki kumnyooshea kidole yoyote ktk hao itoshe tu kujua ulikuwa ni mshtuko kiukweli na hakuna aliyejiandaa kwa lile tukio
 
kukaa karibu ni jambo moja na kulipokea jambo kwa wakati ni jambo jingine,sitaki kumnyooshea kidole yoyote ktk hao itoshe tu kujua ulikuwa ni mshtuko kiukweli na hakuna aliyejiandaa kwa lile tukio
Hata wengine wamehoji kuwa gari limekwenda tuu bila mtu kushika usukani mpaka likasimama lenyewe huku hao niliowataja wanakuwa na dereva sambamba wala si nyuma.
 
Hata wengine wamehoji kuwa gari limekwenda tuu bila mtu kushika usukani mpaka likasimama lenyewe huku hao niliowataja wanakuwa na dereva sambamba wa si nyuma.
kaka umesoma ujumbe vyema? Au fatilia majibu yangu ni kuwa gari lilitembea ndani ya sekunde 50 hadi dakika 1.30 na Mungu jaalia halikuwa ktk mwendo mkali na inavyoonekana dereva alikuwa ameshaanza kujickia hovyo ila hakuwa na nafasi ya kujielezea au kucmamisha chombo
 
Hii sio mara ya kwanza madereva wa mabasi kufa njiani kwa magonjwa ya sukari na presha. Kuna case kadhaa Sana. Sema huyu kafa wakati Yuko kwenye mwendo. ...Kwa Hali ya kisukari na presha kwa Sasa Kuna haja ya madereva kupimwa sukari na presha Mara kwa Mara hasa wale wenye matatizo hayo tayari wanayo na wale wenye miili mikubwa.etc

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Dereva aliangukaje akiwa kwenye kiti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…