Kilichomkuta huyu baada ya kuchelewa kurudi nyumbani

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
waifu kaenda kikao cha harusi,pombe zikamnogea kuja kushituka saa 6 usiku.akarudi kwake kichwani anawaza ataingiaje kwake?
MKE:hodi mume wangu
MUME:unaniona mi bushoke sana,sifungui,rudi huko ulikokua ukalale MKE:mi ckuja kulala nimekuja kuchukua condom zipo kwenye pochi yangu juu ya kabati MUME😛umbavu mlevi mkubwa,ingia ulale na usirudie tena huo ujinga wako
 
kirahisi rahis tu namna hii....somebody call 911....
 
Hahaha anajali ndoa yake

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nimmemkubali huyo dada hahahah

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Nadhani huyu jamaa alikuwa Bushoke tu maana atadanganywaje kirahisirahisi kihivyo. Maana hadi akumbuke "ndom" tayari alishadhamiria kutenda maasi. hahahaha:heh:
 
mimi namwachia maana anajali namfungulia anachukua afu namwambia njoo kesho!
 
mimi namwachia maana anajali namfungulia anachukua afu namwambia njoo kesho!

awapi usifanye mchezo ww kabisa anachukua co*****u halafu umwachie haaaa! ngumu sana hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…