Monica Mgeni
Member
- Oct 7, 2021
- 82
- 134
Hivi karibuniNje ya mada,hii kitu kuna siku itamkuta Zitto Zuberi Kabwe
😅😅kwanini MkuuNje ya mada,hii kitu kuna siku itamkuta Zitto Zuberi Kabwe
Asante, uko sahihi na nimekuelewaAlijipendekeza kwà ccm akafie mbele huko
Maana sahv ACT ina nguvu Zanzibar,na wazanzibar hawamkubali zitto wanaona muda wowote anaweza wasariti😅😅kwanini Mkuu
Hiyo sio shida, shida ya Mbatia ni hizi;Nachojua ni kwamba Mbatia aliungana na Ndugai alipopinga tozo na kutaka kumtetea asifukuzwe uspika.