Kilichomkuta MBATIA katika picha

Kilichomkuta MBATIA katika picha

Monica Mgeni

Member
Joined
Oct 7, 2021
Posts
82
Reaction score
134
Funguka tafsiri yako kuhusu hizi Katuni tuone nani ana tafsiri sahihi iliyolengwa na mchoraji Said Michael
WhatsApp Image 2022-09-25 at 9.33.57 AM.jpeg
WhatsApp Image 2022-09-24 at 10.13.18 PM.jpeg
 
Nachojua ni kwamba Mbatia aliungana na Ndugai alipopinga tozo na kutaka kumtetea asifukuzwe uspika.
 
Vyama vya siasa bongo vingi ni vibaraka wa kijani..wanatumika kwa maslahi ya kijani kisha wanatupwa kama toilet pepa.

Katiba mpya itokane na rasimu ya warioba.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nachojua ni kwamba Mbatia aliungana na Ndugai alipopinga tozo na kutaka kumtetea asifukuzwe uspika.
Hiyo sio shida, shida ya Mbatia ni hizi;
1. Kuwa na ndimi mbili.
2. Unafiki wa kuaminiana na CCM.

Yanayotokea sasa NCCR ni matokeo ya CCM kuwekeza kwa Mbatia na Selasini, wote hao wawili wanatafuta kula pesa za CCM, lakini haiwezekani wote wakapewa mchongo hivyo inabidi mmoja ammalize mwenzio ndio aweze kula. Selasini hakuhamia NCCR kuja kuchoma mahindi, alikuja kula kuku kwa mrija.
 
tatizo la mbatia aliposikia siasa ni mdomo maweeee humtoi ka matamko mbuzi nakwambia, kaona akajilie vyake huko poriniii baaasi!
 
Mpinzani wa kweli kwa bongo ni Mbowe na baadhi ya wanachadema eg Heche,Sugu,Boniyai,Mnyika,Kigaila etc
 
Back
Top Bottom