Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nyama ziko kwa chini mkuuHuu ni mtori ambao hauna nyama...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hadithi za mtume hizo,mwarabu ampige kibao mueneza dini ya kiislam,neverShekhe Amri Abeid ni mmoja ya washairi maarufu Tanzania na Meya wa kwanza Mwafrika ambaye pia ni mwanafunzi mwenzake wa Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakiwa wamesoma wote shule moja ya Tabora.
Siku moja Moja Shekhe Amri Abeid akiwa na Shekhe Mubaarak walikuwa wakipita katika mji wa Mombasa katika kazi za kuhubiri dini, lakini ghafla akaja mwarabu mmoja aliekuwa akishughulika na uuzaji bucha na kumpiga Shekhe Abeid Kibao ambacho kilimpeleka chini na kusababisha miwani yake kudondoka na kofia kutoka kichwani.
Amri Abeid kwa upole kabisa aliokota kofia na miwani take akajifuta vumbi na kuvaa, huku Shekhe Mubaarak akimwambia kwa upole waondoke, na wakaondoka.
Miaka michache baadae Shekhe Mubaarak alipita katika eneo hilo na kukutana na mtu mmoja kipofu na mtu yule akajitambulisha kuwa yeye ndie aliyempiga Shekhe Kaluta kibao hivyo anaomba msamaha.
Shekhe Mubaaraka alimsihi sana mtu yule kumuomba mwenyezi Mungu msamaha kwani wakati akifanya kitendo kile wao walikuwa katika kazi ya kuhubiri maneno ya Mwenyezi Mungu.
Tukumbuke kwamba Shekhe Kaluta Amri Abeid ndie mtu mwenye jina la uwanja wa mpira wa Shekhe Amri Abeid wa Arusha.
Ni mtunzi wa mashairi, mtaalamu wa fasihi na lugha ya Kiswahili, Waziri, Meya wa kwanza muafrika na Mkuu wa Mkoa.
Pia alikuwa Wakili by profession akiwa Kasoma Uganda na baadae Uingereza
Shekhe Amri Abeid ni mmoja ya washairi maarufu Tanzania na Meya wa kwanza Mwafrika ambaye pia ni mwanafunzi mwenzake wa Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakiwa wamesoma wote shule moja ya Tabora.
Siku moja Moja Shekhe Amri Abeid akiwa na Shekhe Mubaarak walikuwa wakipita katika mji wa Mombasa katika kazi za kuhubiri dini, lakini ghafla akaja mwarabu mmoja aliekuwa akishughulika na uuzaji bucha na kumpiga Shekhe Abeid Kibao ambacho kilimpeleka chini na kusababisha miwani yake kudondoka na kofia kutoka kichwani.
Amri Abeid kwa upole kabisa aliokota kofia na miwani take akajifuta vumbi na kuvaa, huku Shekhe Mubaarak akimwambia kwa upole waondoke, na wakaondoka.
Miaka michache baadae Shekhe Mubaarak alipita katika eneo hilo na kukutana na mtu mmoja kipofu na mtu yule akajitambulisha kuwa yeye ndie aliyempiga Shekhe Kaluta kibao hivyo anaomba msamaha.
Shekhe Mubaaraka alimsihi sana mtu yule kumuomba mwenyezi Mungu msamaha kwani wakati akifanya kitendo kile wao walikuwa katika kazi ya kuhubiri maneno ya Mwenyezi Mungu.
Tukumbuke kwamba Shekhe Kaluta Amri Abeid ndie mtu mwenye jina la uwanja wa mpira wa Shekhe Amri Abeid wa Arusha.
Ni mtunzi wa mashairi, mtaalamu wa fasihi na lugha ya Kiswahili, Waziri, Meya wa kwanza muafrika na Mkuu wa Mkoa.
Wanaomdhihaki Mungu kwa makusudi huwa wanalipwa haraka sana.Shekhe Amri Abeid ni mmoja ya washairi maarufu Tanzania na Meya wa kwanza Mwafrika ambaye pia ni mwanafunzi mwenzake wa Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakiwa wamesoma wote shule moja ya Tabora.
Siku moja Moja Shekhe Amri Abeid akiwa na Shekhe Mubaarak walikuwa wakipita katika mji wa Mombasa katika kazi za kuhubiri dini, lakini ghafla akaja mwarabu mmoja aliekuwa akishughulika na uuzaji bucha na kumpiga Shekhe Abeid Kibao ambacho kilimpeleka chini na kusababisha miwani yake kudondoka na kofia kutoka kichwani.
Amri Abeid kwa upole kabisa aliokota kofia na miwani take akajifuta vumbi na kuvaa, huku Shekhe Mubaarak akimwambia kwa upole waondoke, na wakaondoka.
Miaka michache baadae Shekhe Mubaarak alipita katika eneo hilo na kukutana na mtu mmoja kipofu na mtu yule akajitambulisha kuwa yeye ndie aliyempiga Shekhe Kaluta kibao hivyo anaomba msamaha.
Shekhe Mubaaraka alimsihi sana mtu yule kumuomba mwenyezi Mungu msamaha kwani wakati akifanya kitendo kile wao walikuwa katika kazi ya kuhubiri maneno ya Mwenyezi Mungu.
Tukumbuke kwamba Shekhe Kaluta Amri Abeid ndie mtu mwenye jina la uwanja wa mpira wa Shekhe Amri Abeid wa Arusha.
Ni mtunzi wa mashairi, mtaalamu wa fasihi na lugha ya Kiswahili, Waziri, Meya wa kwanza muafrika na Mkuu wa Mkoa.
Nyama zipo chiniHuu ni mtori ambao hauna nyama.
Sent from my iPhone using JamiiForums