na kalikuwa na jeuri haka katoto sema uruma sa nyingine kalikua busy kusambaza ubuyu na kuchangiaa kwenye maacount ya umbeya sasa mshauri uone jibu lake lazima utafute panadolnasikia linda alitaka kumsupport huko marekani yeye na kamati ya miss tz wakaleta jeuri
Watz hatufanyi maandaliz ya kueleweka halaf mtu akishafika kwenye mashindano tunatumia efforts kubwa bila kusahau hatuna misingi ya kubeba ushindi.. Diana is good alikuwa na project kali she is social and good looking lakini hakuwa na mentor hakuwa na designer hakuwa na team around her hakuandaliwa kuwa mshindi natamani tujifunze kujiandaa katika kila nyanja Olympics timu za taifa urembo and so
tunasoma siku za paper mbuzi hanenepi siku ya mnadaTanzania tushaozea mambo ya zima moto...
na kalikuwa na jeuri haka katoto sema uruma sa nyingine kalikua busy kusambaza ubuyu na kuchangiaa kwenye maacount ya umbeya sasa mshauri uone jibu lake lazima utafute panadol
Huyo miss kenya alikuwa ni namba mbili na kilichotokea ni kuwa aliyeshinda alivuliwa taji baada ya skendo ya kimapenzi ndo akapewa yeye hivyo hata yeye alikuwa na muda mchache wa kujiandaa.....Ningeshauri,miss wa mwaka uliopita ndiye awe Miss atakayeliwakilisha taifa kwenye mashindano ya Dunia.
Namaanisha,Miss Tz 2015 awe ndiye mwakilishi kwa mwaka 2016 na Miss Tz 2016 awe maakilishi Miss World 2017.
Kwa sababu inampa muda mwingi wa kujiandaa,yapata mwaka mzima na kuangalia vipaumbele na changamoto za kukabiliana nazo anavyojiandaa kuliwakilisha taifa.
Pia kamati itapata muda wa Kumfunza na kumshauri katika project yake atakayoiandaa na wadau pia watampa ushauri ili aweze kufanya vema.
Nchi nyingi zinafanya hivyo na ndizo hujitahidi kufanya vema. Miss TZ ni ngumu kushinda kwa sababu hukaa karibia wiki moja pekee kisha huhitajika kiufika kambini kujiandaa na Miss World. Mtu huyu atapata muda upi wa kuandaa project yake ili iwe na ushawishi?
Kwa mantiki hiyo,nashauri Tanzania isiwe na Mwakilishi mwaka ujao badala yake MissTz 2017 awe mwakilishi mwaka MW 2018.
Nawasilisha.
Ningeshauri,miss wa mwaka uliopita ndiye awe Miss atakayeliwakilisha taifa kwenye mashindano ya Dunia.
Namaanisha,Miss Tz 2015 awe ndiye mwakilishi kwa mwaka 2016 na Miss Tz 2016 awe maakilishi Miss World 2017.
Kwa sababu inampa muda mwingi wa kujiandaa,yapata mwaka mzima na kuangalia vipaumbele na changamoto za kukabiliana nazo anavyojiandaa kuliwakilisha taifa.
Pia kamati itapata muda wa Kumfunza na kumshauri katika project yake atakayoiandaa na wadau pia watampa ushauri ili aweze kufanya vema.
Nchi nyingi zinafanya hivyo na ndizo hujitahidi kufanya vema. Miss TZ ni ngumu kushinda kwa sababu hukaa karibia wiki moja pekee kisha huhitajika kiufika kambini kujiandaa na Miss World. Mtu huyu atapata muda upi wa kuandaa project yake ili iwe na ushawishi?
Kwa mantiki hiyo,nashauri Tanzania isiwe na Mwakilishi mwaka ujao badala yake MissTz 2017 awe mwakilishi mwaka MW 2018.
Nawasilisha.
Tunahisi dunia bado inatusubiria ....Watz hatufanyi maandaliz ya kueleweka halaf mtu akishafika kwenye mashindano tunatumia efforts kubwa bila kusahau hatuna misingi ya kubeba ushindi.. Diana is good alikuwa na project kali she is social and good looking lakini hakuwa na mentor hakuwa na designer hakuwa na team around her hakuandaliwa kuwa mshindi natamani tujifunze kujiandaa katika kila nyanja Olympics timu za taifa urembo and so
subiria ukawa 2020Tunahisi dunia bado inatusubiria ....
Hatutaki kuweka jitihada yaani kila kitu tunataka kitokee automatically
No wonder tunajivunia vitu vya asili tu utadhani tumeweka jitihada kwa pale vilipo na huku havitusaidii chochote
Lundenga kama Mugabe .. Hivi Ana jambo jingine LA kumuingizia kipato zaidi ya hilihii kamati ya mamiss tz ndiyo inatatizo
hana shughuli yoyote nazani huwa namuona akitoa elf kumi m pesa sehemu sasa mtu huyu anapewa jukumu kubwa hivi kweli ataliweza?Lundenga kama Mugabe .. Hivi Ana jambo jingine LA kumuingizia kipato zaidi ya hili
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Kama hana , bhasi aajiri watu wanaoelewa ni nini wanahitaji ili naye atengeneze pesa za kumlinda mjini
hana management nzuri wanendesha tu ilimradi liende .. laikini angeweka iwe serious ingekuwa nzuri sanaLundenga kama Mugabe .. Hivi Ana jambo jingine LA kumuingizia kipato zaidi ya hili
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Kama hana , bhasi aajiri watu wanaoelewa ni nini wanahitaji ili naye atengeneze pesa za kumlinda mjini
wanapiga tu hela za show hawana habari tena .lundega ana ofisi kweli?hana management nzuri wanendesha tu ilimradi liende .. laikini angeweka iwe serious ingekuwa nzuri sana
Tatizo wazee huwa wanafanya vitu kwa mazoea na hawana time ya researchhana management nzuri wanendesha tu ilimradi liende .. laikini angeweka iwe serious ingekuwa nzuri sana
ni aibu sana mambo ni yale yale tu kila siku just imagine lundega hata ofisi hana yupo nyumbani tu ila anapewa kazi kama hii ! si bora hili swala libaki basata?Tanzania hatuna historia ya kujiandaa kwenye mashindano yoyote tunasubiri kukurupuka matokeo ndio kama hayo
Sina uhakikawanapiga tu hela za show hawana habari tena .lundega ana ofisi kweli?