Kilichomnyima nafasi miss Tanzania 2016 shindano la miss world

nasikia linda alitaka kumsupport huko marekani yeye na kamati ya miss tz wakaleta jeuri
na kalikuwa na jeuri haka katoto sema uruma sa nyingine kalikua busy kusambaza ubuyu na kuchangiaa kwenye maacount ya umbeya sasa mshauri uone jibu lake lazima utafute panadol
 
Huo ndo ukweli. Fikiria hapo alipo tu hata ile zawad ya gar sijui kama keshaipata. Akirudi anasahaulika watakumbuka umuhimu wake wakati wa kumvisha taji miss Tanzania 2017.
Watz hatufanyi maandaliz ya kueleweka halaf mtu akishafika kwenye mashindano tunatumia efforts kubwa bila kusahau hatuna misingi ya kubeba ushindi.. Diana is good alikuwa na project kali she is social and good looking lakini hakuwa na mentor hakuwa na designer hakuwa na team around her hakuandaliwa kuwa mshindi natamani tujifunze kujiandaa katika kila nyanja Olympics timu za taifa urembo and so
 
Tatizo umaarufu unampelekesha wakati hakuutegemea ndio maana. Pia anaowaona wa maana hawana ushirikiano mzuri na baadhi ya wadau wa kamati ya miss Tanzania lazima wamtose kiaina
na kalikuwa na jeuri haka katoto sema uruma sa nyingine kalikua busy kusambaza ubuyu na kuchangiaa kwenye maacount ya umbeya sasa mshauri uone jibu lake lazima utafute panadol
 
Ningeshauri,miss wa mwaka uliopita ndiye awe Miss atakayeliwakilisha taifa kwenye mashindano ya Dunia.

Namaanisha,Miss Tz 2015 awe ndiye mwakilishi kwa mwaka 2016 na Miss Tz 2016 awe maakilishi Miss World 2017.

Kwa sababu inampa muda mwingi wa kujiandaa,yapata mwaka mzima na kuangalia vipaumbele na changamoto za kukabiliana nazo anavyojiandaa kuliwakilisha taifa.

Pia kamati itapata muda wa Kumfunza na kumshauri katika project yake atakayoiandaa na wadau pia watampa ushauri ili aweze kufanya vema.

Nchi nyingi zinafanya hivyo na ndizo hujitahidi kufanya vema. Miss TZ ni ngumu kushinda kwa sababu hukaa karibia wiki moja pekee kisha huhitajika kiufika kambini kujiandaa na Miss World. Mtu huyu atapata muda upi wa kuandaa project yake ili iwe na ushawishi?

Kwa mantiki hiyo,nashauri Tanzania isiwe na Mwakilishi mwaka ujao badala yake MissTz 2017 awe mwakilishi mwaka MW 2018.

Nawasilisha.
Huyo miss kenya alikuwa ni namba mbili na kilichotokea ni kuwa aliyeshinda alivuliwa taji baada ya skendo ya kimapenzi ndo akapewa yeye hivyo hata yeye alikuwa na muda mchache wa kujiandaa.....

Ninachokiona ni kuwa kamati ya miss Tanzania haipo tayari kufanya kazi ya ziada kumpata na kumsupport mrembo wao baada ya mashindano na wasilolijua ni kuwa nchi nyingi zinaitumia miss world kujitangaza lakini wao wanahisi hiyo ni platform ya rahisi....

Nimemfollow maria sarungi na kwa kweli nimeona utofauti mkubwa Sana na huyu lundenga...

Yaani miss universe inatumia pesa kidogo lakini wanatoa best contestants kuliko miss world tz kwa maana wengi wanakuwa kwenye hiyo industry plus exposure na hata umri wao unakuwa mkubwa kidogo hivyo , hata kuwaandaa Inakuwa kazi rahisi

Maria sarungi yupo serious na Kama ningekuwa na uwezo ningeomba tu wampe hayo mashindano ayasimamie maana hata warembo wa miss universe siwajui lakini wanaopata umaarufu ni watu wa maana kwa sasa Kama flaviana matata , hellen dausen na Miriam odemba
Ningeshauri,miss wa mwaka uliopita ndiye awe Miss atakayeliwakilisha taifa kwenye mashindano ya Dunia.

Namaanisha,Miss Tz 2015 awe ndiye mwakilishi kwa mwaka 2016 na Miss Tz 2016 awe maakilishi Miss World 2017.

Kwa sababu inampa muda mwingi wa kujiandaa,yapata mwaka mzima na kuangalia vipaumbele na changamoto za kukabiliana nazo anavyojiandaa kuliwakilisha taifa.

Pia kamati itapata muda wa Kumfunza na kumshauri katika project yake atakayoiandaa na wadau pia watampa ushauri ili aweze kufanya vema.

Nchi nyingi zinafanya hivyo na ndizo hujitahidi kufanya vema. Miss TZ ni ngumu kushinda kwa sababu hukaa karibia wiki moja pekee kisha huhitajika kiufika kambini kujiandaa na Miss World. Mtu huyu atapata muda upi wa kuandaa project yake ili iwe na ushawishi?

Kwa mantiki hiyo,nashauri Tanzania isiwe na Mwakilishi mwaka ujao badala yake MissTz 2017 awe mwakilishi mwaka MW 2018.

Nawasilisha.
 
Watz hatufanyi maandaliz ya kueleweka halaf mtu akishafika kwenye mashindano tunatumia efforts kubwa bila kusahau hatuna misingi ya kubeba ushindi.. Diana is good alikuwa na project kali she is social and good looking lakini hakuwa na mentor hakuwa na designer hakuwa na team around her hakuandaliwa kuwa mshindi natamani tujifunze kujiandaa katika kila nyanja Olympics timu za taifa urembo and so
Tunahisi dunia bado inatusubiria ....

Hatutaki kuweka jitihada yaani kila kitu tunataka kitokee automatically

No wonder tunajivunia vitu vya asili tu utadhani tumeweka jitihada kwa pale vilipo na huku havitusaidii chochote
 
subiria ukawa 2020
 
hii kamati ya mamiss tz ndiyo inatatizo
Lundenga kama Mugabe .. Hivi Ana jambo jingine LA kumuingizia kipato zaidi ya hili
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]

Kama hana , bhasi aajiri watu wanaoelewa ni nini wanahitaji ili naye atengeneze pesa za kumlinda mjini
 
hana shughuli yoyote nazani huwa namuona akitoa elf kumi m pesa sehemu sasa mtu huyu anapewa jukumu kubwa hivi kweli ataliweza?
 
Lundenga kama Mugabe .. Hivi Ana jambo jingine LA kumuingizia kipato zaidi ya hili
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]

Kama hana , bhasi aajiri watu wanaoelewa ni nini wanahitaji ili naye atengeneze pesa za kumlinda mjini
hana management nzuri wanendesha tu ilimradi liende .. laikini angeweka iwe serious ingekuwa nzuri sana
 
Tatizo wazee huwa wanafanya vitu kwa mazoea na hawana time ya research

Yaani wagumu kuadopt mawazo mapya
 
Miss tz itabaki kupeana zawad tu naona bado hawaelew context ya miss world inataka nn
 
Kaki yenu watanzania kushinda nitandaoni na ulimbukeni wa kuvote.

Natamani hizi reality ziwe zinazingatiwa hata kwenye tuzo za afrika hususani Tanzania
 
Tanzania hatuna historia ya kujiandaa kwenye mashindano yoyote tunasubiri kukurupuka matokeo ndio kama hayo
 
ni aibu sana mambo ni yale yale tu kila siku just imagine lundega hata ofisi hana yupo nyumbani tu ila anapewa kazi kama hii ! si bora hili swala libaki basata?
 
Kwa andiko hilo ni wazi kwamba Watanzania tunajiendea tu kiboyaboya, tunahudhuria na hatuendi kushiriki. Hatujui miss world inataka nini.
 
Back
Top Bottom