Kilichomnyima nafasi miss Tanzania 2016 shindano la miss world

Kwa andiko hilo ni wazi kwamba Watanzania tunajiendea tu kiboyaboya, tunahudhuria na hatuendi kushiriki. Hatujui miss world inataka nini.
hili shindano lifutwe tu mkuu hakuna jinsi yaani ukiona wenzetu wanavofanya sio mchezo
 
Elimu na Ubunifu wa nini Utapeleka kwa jamii viwe kati ya vigezo vya kutwaa taji la miss tanzania. Ilivyo sasa nanusa harufu ya kuvuana vuana chupi tu.
 
hili shindano lifutwe tu mkuu hakuna jinsi yaani ukiona wenzetu wanavofanya sio mchezo
Nakubaliana na wewe. Alafau tupate mawazo na watu wapya.... Lundenga kwani hayo mashindano ni ya familia yake,, akabidhi kijiti.
 
Tatizo la kupata miss world halipo Tanzania pekee bali ni changamoto kwa nchi zote Africa.
*EGYPT 1954
*NIGERIA 2001
*SOUTH AFRICA (1957,1974,2014)
Karibu miaka 65 sasa tangu kuanza kwa miss world 1951 ni nchi 3 tu kwa Africa nzima zilizowahi kuibuka na ushindi.
 
Shida kubwa ni wadhamini ni wachumia tumbo. ....kama unavyojua marekani miss wao alikuwa ana dhaminiwa na Trump. ..
Hapo tu ni jibu fika...
 
Kwahiyo its OK... Tuendelee boronga???
 


Wewe unamuona Lundenga wa maana sana?

Lundenga si kawekwa na wadosi tu wanamtumia kuwauza ndugu zake, wenyewe wako pembeni.

Hana maana yoyote huyo zaidi ya kuwa "pimp" .
 
Kwahiyo its OK... Tuendelee boronga???
Hapana, tujipange zaidi kupambana na changamoto hii. Ila tukubali kuwa changamoto ni kubwa mno kupata miss world si unaona South Africa 2014 wamepeleka kitoto kizuri Rolene strauss hakuwa na mpinzani kama mzungu lakini sio black mwenzetu.
-Tumpongeze miss Diana kwa confidence na juhudi zake.
 
Ebanah tusidanganye na kutafuta sababu sisi toka mwanzo Tulisema yule demu mbaya na havutii tukaonekana tuna hila na mdomo mchafu.

Wale wazungu wanaangalia pia na muonekano wa mtu sasa yule mmasai alikuwa amejikondesha mabega wamemchomoka kama hapati chakula cha kutosha alafu tulikaa kutegemea ushindi.
 
Ushauri mzur ..
 
mshindi 2016
Ujue ukiangalia miss world unagundua tofauti kubwa sana kwenye jinsi wanavyo pata mshindi na jinsi sisi tunavyochagua wakwetu. Its time lundenga astep down tupate fresh ideas na watu ambao watachagua miss tz anaefit vigezo vya miss world.
Hizi projects ukiangalia zinagusa moja kwa moja maisha ya watu sisi tunaandaa proposal tunasema una project
Miss world [emoji290] wanataka project ambayo imeshaonyesha matokeo chanya.
 
Ni kweli miss universe wanamaandalizi mazuri na wengi sio watoto wa 18 yrs wanakua wanaexposure tayari na akili imetulia.
 
Mmasai katutia aibu huyu! Mputuuuu

Watu full kuandika Tanzania Tanzania kwenye pages za miss world .Tumeonekana kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…