Kilichomnyima nafasi miss Tanzania 2016 shindano la miss world

Kilichomnyima nafasi miss Tanzania 2016 shindano la miss world

Kwa andiko hilo ni wazi kwamba Watanzania tunajiendea tu kiboyaboya, tunahudhuria na hatuendi kushiriki. Hatujui miss world inataka nini.
hili shindano lifutwe tu mkuu hakuna jinsi yaani ukiona wenzetu wanavofanya sio mchezo
 
Huyo miss kenya alikuwa ni namba mbili na kilichotokea ni kuwa aliyeshinda alivuliwa taji baada ya skendo ya kimapenzi ndo akapewa yeye hivyo hata yeye alikuwa na muda mchache wa kujiandaa.....

Ninachokiona ni kuwa kamati ya miss Tanzania haipo tayari kufanya kazi ya ziada kumpata na kumsupport mrembo wao baada ya mashindano na wasilolijua ni kuwa nchi nyingi zinaitumia miss world kujitangaza lakini wao wanahisi hiyo ni platform ya rahisi....

Nimemfollow maria sarungi na kwa kweli nimeona utofauti mkubwa Sana na huyu lundenga...

Yaani miss universe inatumia pesa kidogo lakini wanatoa best contestants kuliko miss world tz kwa maana wengi wanakuwa kwenye hiyo industry plus exposure na hata umri wao unakuwa mkubwa kidogo hivyo , hata kuwaandaa Inakuwa kazi rahisi

Maria sarungi yupo serious na Kama ningekuwa na uwezo ningeomba tu wampe hayo mashindano ayasimamie maana hata warembo wa miss universe siwajui lakini wanaopata umaarufu ni watu wa maana kwa sasa Kama flaviana matata , hellen dausen na Miriam odemba
Elimu na Ubunifu wa nini Utapeleka kwa jamii viwe kati ya vigezo vya kutwaa taji la miss tanzania. Ilivyo sasa nanusa harufu ya kuvuana vuana chupi tu.
 
hili shindano lifutwe tu mkuu hakuna jinsi yaani ukiona wenzetu wanavofanya sio mchezo
Nakubaliana na wewe. Alafau tupate mawazo na watu wapya.... Lundenga kwani hayo mashindano ni ya familia yake,, akabidhi kijiti.
 
Tatizo la kupata miss world halipo Tanzania pekee bali ni changamoto kwa nchi zote Africa.
*EGYPT 1954
*NIGERIA 2001
*SOUTH AFRICA (1957,1974,2014)
Karibu miaka 65 sasa tangu kuanza kwa miss world 1951 ni nchi 3 tu kwa Africa nzima zilizowahi kuibuka na ushindi.
 
mmmh patamu hapo sio documentary tu mavazi hukuon ndugu yangu ,skuna je?tz hatupo serious kwenye jambo lolote miss kaenda na nguo zake za kariakoakiambiwa avae gauni la usku anaenda kuvaa kifauni kinaekeaa kama kunamabwa na miba miba ,akiambiwa avae bitch wear akaenda kuvaa mi nguo ya kushona na uzi eti utamaduni,manywele yenyewe sijui alinunua kkoo yaaan kwangu ilikua ni aibu though yeye binafsi alijitahid ila vitendea kazi ni tatizo
Shida kubwa ni wadhamini ni wachumia tumbo. ....kama unavyojua marekani miss wao alikuwa ana dhaminiwa na Trump. ..
Hapo tu ni jibu fika...
 
Tatizo la kupata miss world halipo Tanzania pekee bali ni changamoto kwa nchi zote Africa.
*EGYPT 1954
*NIGERIA 2001
*SOUTH AFRICA (1957,1974,2014)
Karibu miaka 65 sasa tangu kuanza kwa miss world 1951 ni nchi 3 tu kwa Africa nzima zilizowahi kuibuka na ushindi.
Kwahiyo its OK... Tuendelee boronga???
 
Tuseme Lundenga na timu yake nao hawajui nini Miss Tanzania anatakiwa afanye huko? au hata Lundenga commettee wote hawajui vigezo vya kuwania u-miss huko duniani? Hii itakuwa ajabu la tatu kwa nchi ya Tanzania baada ya lile la Siasa na michezo yote hasa futiboli

Wewe unamuona Lundenga wa maana sana?

Lundenga si kawekwa na wadosi tu wanamtumia kuwauza ndugu zake, wenyewe wako pembeni.

Hana maana yoyote huyo zaidi ya kuwa "pimp" .
 
Kwahiyo its OK... Tuendelee boronga???
Hapana, tujipange zaidi kupambana na changamoto hii. Ila tukubali kuwa changamoto ni kubwa mno kupata miss world si unaona South Africa 2014 wamepeleka kitoto kizuri Rolene strauss hakuwa na mpinzani kama mzungu lakini sio black mwenzetu.
-Tumpongeze miss Diana kwa confidence na juhudi zake.
 
Ebanah tusidanganye na kutafuta sababu sisi toka mwanzo Tulisema yule demu mbaya na havutii tukaonekana tuna hila na mdomo mchafu.

Wale wazungu wanaangalia pia na muonekano wa mtu sasa yule mmasai alikuwa amejikondesha mabega wamemchomoka kama hapati chakula cha kutosha alafu tulikaa kutegemea ushindi.
 
Ningeshauri,miss wa mwaka uliopita ndiye awe Miss atakayeliwakilisha taifa kwenye mashindano ya Dunia.

Namaanisha,Miss Tz 2015 awe ndiye mwakilishi kwa mwaka 2016 na Miss Tz 2016 awe maakilishi Miss World 2017.

Kwa sababu inampa muda mwingi wa kujiandaa,yapata mwaka mzima na kuangalia vipaumbele na changamoto za kukabiliana nazo anavyojiandaa kuliwakilisha taifa.

Pia kamati itapata muda wa Kumfunza na kumshauri katika project yake atakayoiandaa na wadau pia watampa ushauri ili aweze kufanya vema.

Nchi nyingi zinafanya hivyo na ndizo hujitahidi kufanya vema. Miss TZ ni ngumu kushinda kwa sababu hukaa karibia wiki moja pekee kisha huhitajika kiufika kambini kujiandaa na Miss World. Mtu huyu atapata muda upi wa kuandaa project yake ili iwe na ushawishi?

Kwa mantiki hiyo,nashauri Tanzania isiwe na Mwakilishi mwaka ujao badala yake MissTz 2017 awe mwakilishi mwaka MW 2018.

Nawasilisha.
Ushauri mzur ..
 
mshindi 2016

Ujue ukiangalia miss world unagundua tofauti kubwa sana kwenye jinsi wanavyo pata mshindi na jinsi sisi tunavyochagua wakwetu. Its time lundenga astep down tupate fresh ideas na watu ambao watachagua miss tz anaefit vigezo vya miss world.
Hizi projects ukiangalia zinagusa moja kwa moja maisha ya watu sisi tunaandaa proposal tunasema una project
Miss world [emoji290] wanataka project ambayo imeshaonyesha matokeo chanya.
 
Huyo miss kenya alikuwa ni namba mbili na kilichotokea ni kuwa aliyeshinda alivuliwa taji baada ya skendo ya kimapenzi ndo akapewa yeye hivyo hata yeye alikuwa na muda mchache wa kujiandaa.....

Ninachokiona ni kuwa kamati ya miss Tanzania haipo tayari kufanya kazi ya ziada kumpata na kumsupport mrembo wao baada ya mashindano na wasilolijua ni kuwa nchi nyingi zinaitumia miss world kujitangaza lakini wao wanahisi hiyo ni platform ya rahisi....

Nimemfollow maria sarungi na kwa kweli nimeona utofauti mkubwa Sana na huyu lundenga...

Yaani miss universe inatumia pesa kidogo lakini wanatoa best contestants kuliko miss world tz kwa maana wengi wanakuwa kwenye hiyo industry plus exposure na hata umri wao unakuwa mkubwa kidogo hivyo , hata kuwaandaa Inakuwa kazi rahisi

Maria sarungi yupo serious na Kama ningekuwa na uwezo ningeomba tu wampe hayo mashindano ayasimamie maana hata warembo wa miss universe siwajui lakini wanaopata umaarufu ni watu wa maana kwa sasa Kama flaviana matata , hellen dausen na Miriam odemba
Ni kweli miss universe wanamaandalizi mazuri na wengi sio watoto wa 18 yrs wanakua wanaexposure tayari na akili imetulia.
 
Mmasai katutia aibu huyu! Mputuuuu

Watu full kuandika Tanzania Tanzania kwenye pages za miss world .Tumeonekana kituko
 
Back
Top Bottom