Kilichomnyima nafasi miss Tanzania 2016 shindano la miss world

tushafanya hvyo tumeshindwa pia!
 
Tuseme zile comments zetu za Tanzania hazikusaidia kitu dadadadeki hizi digisu hizi
 
Atarudi na hasira sasa akahamasishe masai kamata wembe kiswa sawa.
 
Dadaangu ni lini waTz walishindwa kwenye mashindano yoyote wakakosa wakumtupia lawama na kusingizia kafanya figisu.
Outfit za diana nazo very cheap.
yasemekana mavaz yalikua ya kuunga unga pia!
 
Miss Kenya hata nguo zake unaona nzuri unaweza ukasema walitumia mda wakajipanga,Miss wetu wamemtoa kama kinyago hawaja m polish anaongea vijembe kwenye net yani anatakiwa apewe mafunzo yakutosha,mfano ebu angali nguo alorudi nayo ,ametoka Airport nje pale utasem alitoka kijijini au yuko hapa hapa ameingia na local flight jamani,watu wasishindwe nakupika wakasingizia moshi,kamati ya Miss Tanzania wajipange na wajifunze kutokana na makosa full stop.
 
Tanzania hatuna historia ya kujiandaa kwenye mashindano yoyote tunasubiri kukurupuka matokeo ndio kama hayo
Kusema ukweli huyu msichana hana uzuri asilia. Makeup nyingi, lipstick, wanja na nywele za bandia! Imagine ana 18years anasidiwa na uzuri wa dukani si sahihi. Wanaotumia makeup ni wenye makunyanzi ya uzee siyo binti wa 18 wanayesema maji bado yanatembea usoni! Huwezi kumnyima mhindi, mvenezuala mwenye nywele asili ukampa mwenye za bandia! Watanzania tuende kushindana tukiwa halisi kama Flavian Matata. Uzuri fake, bandia haufai. Hebu mchekini Teresia Shayo enzi hiyo ya analogia.
 
Kamati ya miss Tanzania ni ya kiujanja ujanja tu.wababaishaji na ma TP lindanda.
 
Asante hapo umenisadia kujua kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…