Paperchaser
Member
- May 4, 2013
- 52
- 5
Kata K majanga, ilasisi wazazi tunaumia na matendo yenu, enzizetu wasani walikuwa na nidhamu, tuliokuwa tunapigana ni cc mashabiki tukisha toka nje, tunatoka ukumbi wa 602 hadi pasiansi Mwanza, kwa miguu njiani ni kuchapana tu, hakuna kwenda POLIS
dogo kama hakubaliki dom dizaini maana kabla ya hiyo kuna show moja aliwahi kuzomewa.
he hates you too
Wewe ndo mume wa dimpoz?acha kukrash hisia za mis user namehe hates you too
Wangekuwa wanajua kwamba hizo ela wanazopata ndio hizohizo buku tano tano wanazotoa wananchi wasingekuwa na mashauzi, Diamond yupo poa anaipenda kazi yake na ndio msanii ambae popote pale lazima aongozane na madensa wake kitu ambacho hata ukiingia kwenye show unapata mzuka tofauti na wao unakuta kwenye video ana madensa lakini akifanya show yupo mwenyewe
wapi uhuru wa kutoa maoni wa dimpoz wapi tofauti kati ya pinda na hao wana dodoma? Dimpoz ametuambia hawezi kufa kimasikini kama ngweir tumpongeze umasikini wa ngweir ni wa kujitakia wote tuukatae na tumuunge mkono ommy
dogo kama hakubaliki dom dizaini maana kabla ya hiyo kuna show moja aliwahi kuzomewa.
na dada yako nimuache wapi?Wewe ndo mume wa dimpoz?acha kukrash hisia za mis user name
Dhambi ya ngwear inamtafuna popote aendako
huyo Omy wa burundi ashanyea kambi, mikoa mingine imejipanga kufanya zaidi ya Dom! So kama anajipenda bora ajitoe tu kwenye tour
Tupe na picha kabisa mkuu ku-support unayosema
dhambi ipi ya kumfanya awe ftkara mpaka anakufa au ipi, achenini unafiki nyie mnamwonea tu dimpozi. Rip ngwear