Kilichompata Omy Dimpozi mda mchache uliopita

Kilichompata Omy Dimpozi mda mchache uliopita

Kata K majanga, ilasisi wazazi tunaumia na matendo yenu, enzizetu wasani walikuwa na nidhamu, tuliokuwa tunapigana ni cc mashabiki tukisha toka nje, tunatoka ukumbi wa 602 hadi pasiansi Mwanza, kwa miguu njiani ni kuchapana tu, hakuna kwenda POLIS

hahaaaaaaa wow! I like this......
 
Hao ni polisi walikuwa wanatekeleza Amri a Mizengo??
 
Wangekuwa wanajua kwamba hizo ela wanazopata ndio hizohizo buku tano tano wanazotoa wananchi wasingekuwa na mashauzi, Diamond yupo poa anaipenda kazi yake na ndio msanii ambae popote pale lazima aongozane na madensa wake kitu ambacho hata ukiingia kwenye show unapata mzuka tofauti na wao unakuta kwenye video ana madensa lakini akifanya show yupo mwenyewe

wapi uhuru wa kutoa maoni wa dimpoz wapi tofauti kati ya pinda na hao wana dodoma? Dimpoz ametuambia hawezi kufa kimasikini kama ngweir tumpongeze umasikini wa ngweir ni wa kujitakia wote tuukatae na tumuunge mkono ommy
 
wapi uhuru wa kutoa maoni wa dimpoz wapi tofauti kati ya pinda na hao wana dodoma? Dimpoz ametuambia hawezi kufa kimasikini kama ngweir tumpongeze umasikini wa ngweir ni wa kujitakia wote tuukatae na tumuunge mkono ommy

Kauli yake nzuri tatizo gazeti lililom-quote limeonyesha umma wa Tz kama amemtukana Ngwea na ndio maana hata hao wana Dodoma wamekuja juu hasa ukizingatia vijana wengi husoma magazeti ya udaku ambayo mengi huandika kutokana na mtazamo wa mwandishi na hata kama akipigiwa simu ku-balance story huwa ni ushahidi tu.
 
dogo kama hakubaliki dom dizaini maana kabla ya hiyo kuna show moja aliwahi kuzomewa.

huyo Omy wa burundi ashanyea kambi, mikoa mingine imejipanga kufanya zaidi ya Dom! So kama anajipenda bora ajitoe tu kwenye tour
 
dhambi ipi ya kumfanya awe ftkara mpaka anakufa au ipi, achenini unafiki nyie mnamwonea tu dimpozi. Rip ngwear

hata umtetee vipi ile dhambi itamtesa sana. Kwanini asimseme wakati yuko hai bali alisubili mpaka afe ? Kwanza wangemzimua na makofi kidogo.
 
Back
Top Bottom