hata umtetee vipi ile dhambi itamtesa sana. Kwanini asimseme wakati yuko hai bali alisubili mpaka afe ? Kwanza wangemzimua na makofi kidogo.
dogo analeta ushoga wate wameamua kumkoboa ---- uyu
wapi uhuru wa kutoa maoni wa dimpoz wapi tofauti kati ya pinda na hao wana dodoma? Dimpoz ametuambia hawezi kufa kimasikini kama ngweir tumpongeze umasikini wa ngweir ni wa kujitakia wote tuukatae na tumuunge mkono ommy
wangemuulia mbali kabisa! namchukia sana huyu bwn.
Heshima kwa teja???Unajua kiukweli ngwea na chemba squard ndio wameifanya dom kuwa na wa2 kwenye bongo flavour na wanamheshimu sana ngwea na chemba squard wamefanya hivi kwa heshima ya albert mangwea.dogo zalau zimempoza
Nini picha??..mpaka video ipo youtube
mjomba dimpozi kakuta ulaini tayari kwenye gemu tofauti na wasanii kariba ya ngweir.labda ameshaongea na mungu pengine hatafilisika na mambo yatamnyookea hadi atakapokufaWajinga hawatakuelewa
Wavuta bangi watakupiga
Mateja watakuzomea.
Wasanii wengi uelewa wao mdogo
Heshima kwa teja???
Kama alichemka kweli asisemwe?
Kama huko waliko marehemu wanaona kila kitu lazima atayakubali maneno ya Ommy.
Kumbe una chuki zao?
Ndio maana huwezi kumuelewa
Heshima kwa teja???
Kama alichemka kweli asisemwe?
Kama huko waliko marehemu wanaona kila kitu lazima atayakubali maneno ya Ommy.