Kilichompata Omy Dimpozi mda mchache uliopita

Kilichompata Omy Dimpozi mda mchache uliopita

hata umtetee vipi ile dhambi itamtesa sana. Kwanini asimseme wakati yuko hai bali alisubili mpaka afe ? Kwanza wangemzimua na makofi kidogo.

wivu tu unawasumbua nyie wala unga kujifanya ndo wagumu
 
Na magazeti ya udaki ndio yamechangia kupotosha. Kipi kibaya alichokiongea???
Ovyooooo
 
wapi uhuru wa kutoa maoni wa dimpoz wapi tofauti kati ya pinda na hao wana dodoma? Dimpoz ametuambia hawezi kufa kimasikini kama ngweir tumpongeze umasikini wa ngweir ni wa kujitakia wote tuukatae na tumuunge mkono ommy

Wajinga hawatakuelewa
Wavuta bangi watakupiga
Mateja watakuzomea.
Wasanii wengi uelewa wao mdogo
 
Unajua kiukweli ngwea na chemba squard ndio wameifanya dom kuwa na wa2 kwenye bongo flavour na wanamheshimu sana ngwea na chemba squard wamefanya hivi kwa heshima ya albert mangwea.dogo zalau zimempoza
Heshima kwa teja???
Kama alichemka kweli asisemwe?
Kama huko waliko marehemu wanaona kila kitu lazima atayakubali maneno ya Ommy.
 
Wajinga hawatakuelewa
Wavuta bangi watakupiga
Mateja watakuzomea.
Wasanii wengi uelewa wao mdogo
mjomba dimpozi kakuta ulaini tayari kwenye gemu tofauti na wasanii kariba ya ngweir.labda ameshaongea na mungu pengine hatafilisika na mambo yatamnyookea hadi atakapokufa
 
Heshima kwa teja???
Kama alichemka kweli asisemwe?
Kama huko waliko marehemu wanaona kila kitu lazima atayakubali maneno ya Ommy.

we unaongea nn
usikute akili zako zipo kwnye mdomo eh ngesem wewe
 
Back
Top Bottom