Kilichompata Omy Dimpozi mda mchache uliopita

Kilichompata Omy Dimpozi mda mchache uliopita

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
155
Reaction score
19
Wa2 wa Dodoma wamshushia kipigo cha mawe na makopo msanii Omy Dimpozi ktk show ya Kili Music Award Tour ya mwaka huu baada ya kusadikika kuwa Omy Dimpozi baada ya kifo cha Ngwea kumponda wana Dom wameamua hivyo kama kumpa adabu Dimpozi kwa alichofanya.
 
maskini huyu dogo.tatizo anajiona smart sana.
 
hy mduanzi nyimbo zenyewe tatu eti anataka kumpokea kijiti diamond
 
Unajua kiukweli ngwea na chemba squard ndio wameifanya dom kuwa na wa2 kwenye bongo flavour na wanamheshimu sana ngwea na chemba squard wamefanya hivi kwa heshima ya albert mangwea.dogo zalau zimempoza
 
hy mduanzi nyimbo zenyewe tatu eti anataka kumpokea kijiti diamond

Wangekuwa wanajua kwamba hizo ela wanazopata ndio hizohizo buku tano tano wanazotoa wananchi wasingekuwa na mashauzi, Diamond yupo poa anaipenda kazi yake na ndio msanii ambae popote pale lazima aongozane na madensa wake kitu ambacho hata ukiingia kwenye show unapata mzuka tofauti na wao unakuta kwenye video ana madensa lakini akifanya show yupo mwenyewe
 
atapigwa sana.jamaa hata ukiangalia interview zake unaweza badil station ni pumba hana akiba ya maneno.
 
Kata K majanga, ilasisi wazazi tunaumia na matendo yenu, enzizetu wasani walikuwa na nidhamu, tuliokuwa tunapigana ni cc mashabiki tukisha toka nje, tunatoka ukumbi wa 602 hadi pasiansi Mwanza, kwa miguu njiani ni kuchapana tu, hakuna kwenda POLIS
 
dogo kama hakubaliki dom dizaini maana kabla ya hiyo kuna show moja aliwahi kuzomewa.
 
Back
Top Bottom