Tetesi: Kilichomponza Balozi Adadi Rajabu hiki hapa

kumbuka wewe ni verified member, asante.
 
Ndiyo sababu naipenda sana Twitter kule hakifutwi kitu. Uhuru wa kuandika kule ni 110% raha sana.
Kuna uzi wa Kigogo alivyoamsha dude Twitter leo umefutwa kufumba na kufumbua.
 
Reactions: BAK
Mbona Magufuli ni mtu wa haki sana ,
 
Ila tuwe tu wakweli, hivi Adadi Rajabu ni wa kushindwa na MwanaFA? Hebu afanye maamuzi magumu tuone nini kitafuata!
Kama akiamua kwenda upinzani atashinda mchana kweupe.Shida ni kuwa anaweza kwenda upinzan afu akajiuzulu.Yakaanza kutokea yale ya kina luwasa na Simaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…