Tetesi: Kilichomponza Balozi Adadi Rajabu hiki hapa

Mtakiga ramli mpaka mwisho wa dunia!
 
Issue ya huyu jamaa inaweza kuwa connected na shambulizi dhidi ya Lissu lkn wengi hamjui.

Kama Lissu angefariki ni nani aliyepangwa kusoma risala kwenye mazishi kwa niaba ya bunge? Na baadaye jaribio lilipofeli kuna nini kilichopelekea "Leakage"??
 
Ya nini kuhangaika hivi? Magufuli mwenyewe kataa Mara ngapi tena hadhali?

Kila kitu kina mda wake. Najua ACT na CHADEMA wanataka wapate mtu wa kuunga juhudi lakini mzee wa watu hawezi fanya huo mchezo.
 
Na yule Jamaa anayetokea Chemba aliyekuwa anang'ang'aniza Bw Mkubwa aongezewe muda mbona naye yamemkuta, ina maana nae alimuudhi Bw Mkubwa?.
Yule kosa lake kwani hulijui mkuu? Kosa lake ni kuvujisha mpango mapema. Wakuu walikubaliana ule mchapuo uanze baada ya 2020 kupita. Yeye akajitia kiherehere.
 
Sahihi kabisa mkuu
 
Kwendraaaaaa ulikuwepo huko jikoni wanakofyekelea mbali? Mwambie nayeye akagombee urais sasa vyama bado havijaisha.
 
KUPATA KIHOJA KINGINE KAMA HIKI
ANDIKA CCM2025DAIMA KWENDA NAMBA 15777
 
Kitengo wamebadilisha channel tu kumtoa Adadi na kumuweka Mwana FA
 
Adadi achukue form upinzani agombee tena.. au amalizie hasira kwa Lissu.
 
Ya nini kuhangaika hivi? Magufuli mwenyewe kataa Mara ngapi tena hadhali?

Kila kitu kina mda wake. Najua ACT na CHADEMA wanataka wapate mtu wa kuunga juhudi lakini mzee wa watu hawezi fanya huo mchezo.
Umeelewa kile nimeandika??
 
Angalia vizuri walioteuliwa, vijana wote wenye umri wa miaka 20+ wenye shule na waliogombea na kupata kura chache wamepitishwa kugombea lengo ni kuweka damu changa katika system za chama, CCM haiwazi uchaguzi wa 2020 inawaza pia wa 2030.

Kweli mkuu hizo damu changa ni watoto 3 wa Mwinyi,Ridhiwani Kikwete,Mtoto wa Pinda,Mtoto wa Lowassa,Mama Salma etc hizo ndio damu changa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…