Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh. Wakurugenzi waliolalamikiwa utendaji mbovu wamebaki DC ndio ameng'okaKilichomponza Basila Mwanukuzi kupoteza nafasi ya U-DC Korogwe hiki hapa
View attachment 2496029
Mkeka wao waja....Duh. Wakurugenzi waliolalamikiwa utendaji mbovu wamebaki DC ndio ameng'oka
Kuteswa kwa zamu...Duh. Wakurugenzi waliolalamikiwa utendaji mbovu wamebaki DC ndio ameng'oka
Duuu! Hakutendewa haki kabisa ina maana waziri Tamisemi hakuliona au hajaliona hili. Pole Basila kama umeonewa ipo siku kuna mtu ataona juhudi zako ulivyopambana.Kilichomponza Basila Mwanukuzi kupoteza nafasi ya U-DC Korogwe hiki hapa
View attachment 2496029
Sijaelewa mkuu, Basila alipigana na Gambo?huyu sio wa kutiana ngumina Gambo?