Kilichomponza Diamond ni hiki

Kilichomponza Diamond ni hiki

MLUGURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
2,929
Reaction score
3,710
Ile tabia ya kujifanya unatoa nyimbo mpya kila siku ndio haswa imemponza huyu msanii na kujikuta kuishiwa uwezo wa kutunga nyimbo mpya ili kuweza kukata kiu ya mashabiki wake.

Hili suala la kugelezea kazi za wasanii wenzie wa kimataifa rejea nyimbo ya Soapy ni dalili ya wazi kabisa kuwa msanii huyu anajiondoa katika medani za kimataifa kwani mafanikio ya wimbo kama huu wa baba lao hautaweza kumuweka katika mizani yoyote ya kimataifa zaidi zaidi ni kwa matumizi ya ndani ya nchi hususani vijijini tu.
 
To be honest Wimbo wa Diamond unaoitwa Baba lao ni wimbo mbovu saaana, unaweza ukatoa back to back Ila kama Ngoma ni Kali wala hamna taabu , kumbe idea ya Kiba inaweza ikawork ,unatoa Ngoma moja lakn ya ukwel, mshumaaa ni bonge la pini,
 
nimeona kwenye video eti wanachez ukuti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...domo hana jipya uwezo wake umefika omega#R.I.Pdomo
 
Back
Top Bottom