pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Toa na wewe ya kwakoTo be honest Wimbo wa Diamond unaoitwa Baba lao ni wimbo mbovu saaana, unaweza ukatoa back to back Ila kama Ngoma ni Kali wala hamna taabu , kumbe idea ya Kiba inaweza ikawork ,unatoa Ngoma moja lakn ya ukwel, mshumaaa ni bonge la pini,