Kilichomponza Diamond ni hiki

Kilichomponza Diamond ni hiki

Ile tabia ya kujifanya unatoa nyimbo mpya kila siku ndio haswa imemponza huyu msanii na kujikuta kuishiwa uwezo wa kutunga nyimbo mpya ili kuweza kukata kiu ya mashabiki wake.

Hili swala la kugelezea kazi za wasanii wenzie wa kimataifa rejea nyimbo ya Soapy ni dalili ya wazi kabisa kuwa msanii huyu anajiondoa katika medani za kimataifa kwani mafanikio ya wimbo kama huu wa baba lao hautaweza kumuweka katika mizani yoyote ya kimataifa zaidi zaidi ni kwa matumizi ya ndani ya nchi hususani vijijini tu.
Na ndo tunalenga ndani na ni hit
 
To be honest Wimbo wa Diamond unaoitwa Baba lao ni wimbo mbovu saaana, unaweza ukatoa back to back Ila kama Ngoma ni Kali wala hamna taabu , kumbe idea ya Kiba inaweza ikawork ,unatoa Ngoma moja lakn ya ukwel, mshumaaa ni bonge la pini,
May be kwako but BABA LAO ni more than pin
 
Back
Top Bottom