Tetesi: Kilichomponza Diamond ni Sakata la ATCL

Do you know how annoying it is ukifamyiwa kitu kama hiki? Simulizi yako haijatuambia kama ni uongo ticket yake iliuzwa…...na kwa nini kwenye video kuna wateja wanaruhusiwa kupita ila yeye anakatazwa?
DIAMOND WANYOOSHE we want quality service sio upumbavu wa uzalendo uzalendo my ASS!
 
Huyo ni mjinga ,hivi pale uwanjani hakuna manager ?Si angeenda kulalamika kwake badala ya kuchukua mivideos nyambavu aende mbelee huko
Kwani uwanja hauna security ?! Si wangemdhibiti tuu cos kwa viwanja vikubwa vya tz kuna security wa kawaida na wanajeshi ambao hawavai sare pia na police so walishindwa kumdhibiti?! Hapo ndipo utakapojua kwamba shilika lilikuwa lina makosa kwa siku iyo
 
Umetumwaee
 

Kwa kuwa wewe ndio unajua pa kusemea ungelimshauri basi Mondi aende kusemea huko huko wala sio kwenye kelele na kebehi za mitandaoni. Mtoto wa kiswahili ndivyo alivyo. Amebaki nje akiweka sahihi kwenye viganja vya mashabiki akidhani kuwa ati dege litamngoja celebrity kumbe wapi.
Mwelekeze basi pa kwenda kushitaki. Labda nayeye aende EU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…