Tetesi: Kilichomponza Diamond ni Sakata la ATCL

Tetesi: Kilichomponza Diamond ni Sakata la ATCL

Air Tanzania hawana haja ya kutaja muda ambapo mteja amefika airport. Inaeleweka reporting time kwenye check in counter. Sasa kama umekuja mapema na ukaanza kuongea na marafiki zako wakati wenzako waliokuja nyuma yako wana check in halafu wewe unapokuta desk limefungwa na makosa yako.
Kilichotakiwa kufanywa na huyo kijana, ni kufanya booking kwa siku nyingine na awahi airport ku-check kwa wakati. TUACHE SIASA ZA KITOTO
Well said mkuu, kula 5
 
serikali ya awamu ya tano imewekeza nguvu kubwa kulihuisha shirika hilo lililokuwa mahututi kwa kununua ndege mpya na kulifanya sasa angalau liwe na uhai baada ya kudoda kwa muda miaka mingi. Tayari ndege tano zimeshafika nchini na zinafanya kazi na matarajio ni kuleta mashine kubwa zaidi, Airbus mapema mwezi huu.

Mapema mwezi huu?

Nisaidie kuelewa mkuu
 
Foolish fool!!!!You are too emotional!!!Kutokupenda matatizo ya serikali yajulikane!!!!Ulichoandika ni ujuha mtupu
Pathetic! Lazima usikilize pande zote mbili ndo utoe judgment, tatizo la watz wengi hawana reasoning capacity, akisikia jambo wala hadadisi, analibeba jinsi lilivyo, mwendawazimu wa kiwango cha lami
 
Mkuu kama unaamini walichosema ATCL na kuona live ya Diamond ni uongo basi wewe ni mtu wa kuhurumiwa sana.

Ukweli ni kwamba, Diamond was right, na ATCL walichofanya ni damage control.

KIlichofanyika ni hivi, ATCL walikuwa wamebook abiria kuliko uwezo wa ndege. Sasa inapotokea hivyo, ATCL watachukua abiria walio -check in kwnza. Hata kama umefika airport ndani ya muda wa ku-check in, kwa kuwa kuna abiria waliozidi uwezo wa ndege, wale walio check in kwanza ndio watasafiri.

Kwa hiyo katika utetezi wao, ATCL WAMEDANGANYA UMMA kwa kusema Diamond alichelewa. Diamond alifika muda unaotakiwa bali kulikuwa na overbooking ya hiyo flight.
Asee tutashuudia mengi
 
Huyo ni mjinga ,hivi pale uwanjani hakuna manager ?Si angeenda kulalamika kwake badala ya kuchukua mivideos nyambavu aende mbelee huko
 
Picha
emoji116.png
mapema leo akiwa na mstaafu, kabla ya barua kutoka "basata

Huyu mkwere ndio zake hizo za kula bata na kuhujumu serikali ya JIWE kisirisiri!! Patron wa Membe 2020!!
 
Ila hao ATCL wabadilike hyo tabia yao mbovu kumfungia diamond maisha ni adhabu kubwa kuliko maelezo.
Mkuu, wamempiga pini kwa muda usiojulikana. Inaweza kuwa wiki moja, mwezi, mwaka, nk lakini sio maisha.
Hata hivyo siamini kama ataitumikia adhabu hii.
 
Mkuu kama unaamini walichosema ATCL na kuona live ya Diamond ni uongo basi wewe ni mtu wa kuhurumiwa sana.

Ukweli ni kwamba, Diamond was right, na ATCL walichofanya ni damage control.

KIlichofanyika ni hivi, ATCL walikuwa wamebook abiria kuliko uwezo wa ndege. Sasa inapotokea hivyo, ATCL watachukua abiria walio -check in kwnza. Hata kama umefika airport ndani ya muda wa ku-check in, kwa kuwa kuna abiria waliozidi uwezo wa ndege, wale walio check in kwanza ndio watasafiri.

Kwa hiyo katika utetezi wao, ATCL WAMEDANGANYA UMMA kwa kusema Diamond alichelewa. Diamond alifika muda unaotakiwa bali kulikuwa na overbooking ya hiyo flight.
Kama itakuwa kweli ulisemalo basi ATCL wazembe kuliko maelezo.

Sababu booking na confirmation zake huratibiwa na system. Nafasi zikijaa system inakataa kufanya booking zaidi.

Sasa hapa naona kama unatupiga fix kama vile ATCL wamekuwaabasi ya Ubungo terminal ambapo booking inahakikiwa manual na binadamu.
 
Jana ilikuwa siku mbaya sana kwangu..!
Kwanza namkubali sana Diamond Platnum lakini pia namkubali sana Jose Morinho! Unaweza jiuliza sasa nilikuwa katika hali gani jana......................🙁🙁🙁🙁🙁
Pole sana mkuu
 
Mi mwenyewe nimeomba kueleweshwa hapo kwanza. Niliishia hapo kuusoma uzi nikijua post ni ya muda mrefu. Kuchek tarehe kumbe ni jana tu. Nikakumbuka leo ni tarehe 19/12.

Nikawa comfused. Let the guy uncomfuse us.
Unaleta uchochez mkuu, tarajia kupimwa mkojo.
 
Back
Top Bottom