Kilichomponza Magufuli: Hakuchukua hatua kwa waliohusika na mauaji, watekaji na waliopotezwa

Status
Not open for further replies.
JPM atashinda kwa 55% mtashangaa... kisa wapinzani wengi awapiga jura kwa sababu awana kitambulisho cha wapiga kura.
 
Ama neno HAKI haliko kwenye kamusi yake kichwani au analielewa tofauti. Pili good governance endelevu ni tatizo kwake.
 
Niungane nanyi waungwana kukemea na kulaani kila tabia ya kinyama iliyooneshwa na zinazozidi kuoneshwa.

Na mtu yeyote yule bila kujali dini yake, umri wake, cheo chake wala umashuhuri wake kwa tabia za kinyama dhidi ya watu wenye fikra tofauti na wao.

Na Mwenyezi Mungu awapige laana kama hawatotubu ili wawe mifano kwa wale wote wanaozibeba tabia zao.

Lakini pia mwenyezi Mungu ikimpendeza awainue wote na kuwapa ushindi wateteao maisha ya viumbe vyake adimu na awape nafasi ili waendelee kuadhimisha mapenzi yake daima.

Mwenyezi Mungu, awape matumaini na furaha na kuwatibu majeraha yao wote waliokatishwa tamaa na kujeruhiwa na waovu hawa,

Ni mapenzi yetu wapenda haki, kwa yeyote atubuye kwa dhati hatuna budi kumfanya mpenda haki

Amani iwe juu yao wote waipendayo haki
 
Rais Magufuli ndiye Rais. Wengine wanapoteza muda tu. Nchi hii inahitaji viongozi shupavu na wazalendo hasa, wenye uchungu hasa na taifa lao sio mawakala na vibaraka wa mabeberu.
 
Umesema kweli tupu
 
Amen
 
Kazi iliyobaki kwa ACT na CHADEMA ni kulinda kura tu by hook or by crook (By Any means) ,Jiwe lishadondoshwa kwasasa only Policcm,NECCM ndio mkombozi wake,kwenye sanduku hana chake!! gogoki4102 kasema timu ya wizi ipo dodoma ambayo ndio itakayochakachua kura na kuzituma NECCM...Kwahiyo Chadema/ACT mawakala lazima waingie na simu na pili lazima wapewe form za matokeo ambayo mawakala wa ACT na Chadema wametia saini ,kama TUME wakiwanyima hivyo vitu ni wazi wameiba kura na kama wakiiba kura basi lazima kinuke na walioshiriki huo wizi wapelekwe ICC.
 
Hajakataa kumchangia damu,sasa damu ingepelekwaje nairobi?,kumwombea mtu mmoja mmoja haikuzuiwa,kilichokatazwa ni mikusanyiko,
Alivuliwa ubunge na ndugai sababu alitoroka kazini,
Kama kumtibia,si chadema walikuwa na hela na zilitosha?
 
Hajakataa kumchangia damu,sasa damu ingepelekwaje nairobi?,kumwombea mtu mmoja mmoja haikuzuiwa,kilichokatazwa ni mikusanyiko,
Alivuliwa ubunge na ndugai sababu alitoroka kazini,
Kama kumtibia,si chadema walikuwa na hela na zilitosha?
Unajua kinachoitwa wajibu ?!.

Mambo hayo hayakuwahi kumpendeza mwenye akili . Mpaka Zakaria alipowaumbua . Hawakutaka Mawazo aombolezwe licha ya kucharangwa mapanga & mashoka. Hata kaburi lake walilinajisi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…