Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Kwa haya uliyoandika jiandae kwa mvua ya matusi,wanakuja soon kwanza waamke na wengine watoke kanisani....Habari,
Nimasikitiko yangu makubwa kuikosa Tunzo hii yakimataifa kupitia msanii wetu pekee na brand ya Afrika mashariki.
Bila kuooteza muda
Na hizi ni sababu zilimfanya chibu dangote
1) hakua na kazi inayoeleweka anbayo ingemfanya aongeleke au jina lake lizunguke vichwan mwa watu
2) kumanage wasanii kwake limekua pigo kuubwa maana imemfanya aache kusongombele akiamini amefika na ni muda wa kusaidia wengine.
3) kukosa baraka za mzazi mwenzake mama tiffah kutokana na usaliti alionfanyia mwenzake.
4) kurise up kwa Alikiba.
5) kuridhika na mafanikio
Hivyo chibu ajipange upya upya ili arudi kwenye mstari.
HIVI nyie wanaume wa dar kimewakuta nini????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asubuhi yote hii umeamka na kumuwaza chibuHabari,
Nimasikitiko yangu makubwa kuikosa Tunzo hii yakimataifa kupitia msanii wetu pekee na brand ya Afrika mashariki.
Bila kuooteza muda
Na hizi ni sababu zilimfanya chibu dangote
1) hakua na kazi inayoeleweka anbayo ingemfanya aongeleke au jina lake lizunguke vichwan mwa watu
2) kumanage wasanii kwake limekua pigo kuubwa maana imemfanya aache kusongombele akiamini amefika na ni muda wa kusaidia wengine.
3) kukosa baraka za mzazi mwenzake mama tiffah kutokana na usaliti alionfanyia mwenzake.
4) kurise up kwa Alikiba.
5) kuridhika na mafanikio
Hivyo chibu ajipange upya upya ili arudi kwenye mstari.
Hapo no 3 kamfanyia usaliti gani Bibi?Habari,

Ndugu makalio
ukike wa uandishi wangu ni upi??
hivi we ulieandika uzi huu una akili
naomba unijibu unaakili kweli
kurise kwa ali kiba na bet wap na wap umeambiwa hizi ni tuzo za kili kwan...
Halafu blessing za mzaz mwenziwe na kura wap na wap....
Sema kula ndo hazijatosha na sio sababu zako zisizo eleweka apa pambafu yako