Kilichomwangusha Chibu Dangote BET 2016 ni hiki

Kilichomwangusha Chibu Dangote BET 2016 ni hiki

Hapa lazima tukubaliane na ukweli Diamond bado ni mchanga sana ingawa anajitutumua. Hivi Diamond ametoa Album ngapi mpaka hivi sasa? Hebu angalia watu aliokuwa anashindana nao wameshatoa albam ngapi?
 
Cha kujiuliza ni vigezo gani vinavyotumika kumpata mshindi mpaka Tuzo hiyo iende kwa DJ BLACK COFFEE na si kwa CHIBU aliyezoaga tuzo zote za MTV na AFRIMMA?
Na kama ushindi unatokana na kura za mashabiki, je BLACK KOFFEE anaweza vp kumzidi DANGOTE kwa followers wengi??? maana shabiki zako ndio wapiga kura wako... au ndo TCRA labda wamechangia majanga kwa mashabiki wa Dangote?
 
B.E.T huyo black cofee alikuwa na hit gani ya kumshida wizkid......... mwaka uliopita walimpa eddy kenzo kwa kigezo kipi ambacho diamon alikuwa hana.... wajinga tuu
maumivu yakuzid muone bwana daktariii
 
Habari,

Ni masikitiko yangu makubwa kuikosa Tuzo hii ya kimataifa kupitia msanii wetu pekee na Brand ya Afrika mashariki.
Bila kupoteza muda
Na hizi ni sababu zilimfanya Chibu Dangote

1) Hakuwa na kazi inayoeleweka ambayo ingemfanya aongeleke au jina lake lizunguke vichwani mwa watu

2) Kumanage wasanii kwake limekua pigo kubwa maana imemfanya aache kusonga mbele akiamini amefika na ni muda wa kusaidia wengine.

3) Kukosa baraka za mzazi mwenzake mama Tiffah kutokana na usaliti aliomfanyia mwenzake.

4) Kurise up kwa Alikiba.

5) Kuridhika na mafanikio

Hivyo Chibu ajipange upya upya ili arudi kwenye mstari.
Na kilichokianguza wewe ni ufinyu wa mawazo
 
Unafki tuuweke pembeni mtu ambaye alistahili kuchukua hiyo tuzo ni aidha wizkid au yemi alade. Diamond hakuwa na hit song kulinganisha na hao wawili kwa hiyo kwangu mimi hakustahili kupata tuzo. Tatizo la hizi tuzo za siku hizi kutegemea kura za mitandao ya kijamii zinanyima fursa ya wanamuziki wanaojua muziki kupata recognition na awards stahiki wale wenye wafuasi wengi mitandaoni ndiyo ambao wanabeba tuzo kila kukicha lakini kimuziki watupu kabisa.
Kweli kabisa mkuu

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Ah ah ah ah ah tutaona threads kibao za kumtetea fake dangote, mm sishangai kwa kukosa hii tuzo tena bado saaaana, yeye aendelee tu kupga mapcha tu
 
Team Chibu tunajazba saana aiseh,

Sa skia kuibuka kwa Alikiba kumepunguza attention ya Chibu kwani wengi wameanza kumfuatilia kiba coz alikua na hit song kwa kipindi hiki, pia
Shombo za chibu juu ya leble ya kiba pia imepunguza moyo wa kum vote, mbaya zaidi ile chapuo aliyoifanya kiba ndio iliyoharibu kabisaaa.

Panua bichwa ilo nikuingize material
[emoji14] [emoji14] [emoji14]

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Mbona huzungumzii reasons zilizopelekea wizkid, alade na a.k.a kushindwa...coz unareason as if diamond na kahawa ndio walikuwa nominees pekee
 
BLACK COFFEE KAMWE SIJAWAHI KUSIKIA KAZI ZAKE HALAFU NDO KABEBA TUZO
 
Wizkid hakuomba kura naamini alishinda yy ile tuzo Sema kwa kuwa ye ni jeuri ndo wamemfanyia hvyo
 
Mtoa uzi una matatzo c bure. Ebu muongelee wizkid ambaye anajiandaa kufanya show n CB. Y yy amekosa kulko kumuongelea mondi. C bure unataka ata ukawe mfagiaji wasafi records
 
Sbabu ambayo inaleta mantiki kidogo ni ya kwanza. Zingine zote porojo zako tu. Siku zote kwenye ushindani yupo mshindi mmoja. Msanii mwingine aliyekuwa akipewa nafasi kubwa ni Wizkid. Mbona naye kapigwa chini na ana kazi nyingi tu Kimataifa?
sababu ya tatu sijaielewa naona haina mashiko hata mi nilijua ya baba yake
 
Back
Top Bottom