Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wa mtu si alishaachika au unajisaulishaHapo no 3 inanipa utata. Mi nathani ungesema, kuza na mke wa mtu
Bibi kanyang'anywa na kigori mrembo mbichi tu sasa alijua kumzalia mtoto ndo angemnasa domo. Siku hizi kaacha bwebwe sasa mana dai mwingi. Anyway dai damu inachemka kwa mini amgande mama watanoHapo no 3 kamfanyia usaliti gani Bibi?
kapata zoteKwani diamond kakosa tuzo ??
maumivu yakuzid muone bwana daktariiiB.E.T huyo black cofee alikuwa na hit gani ya kumshida wizkid......... mwaka uliopita walimpa eddy kenzo kwa kigezo kipi ambacho diamon alikuwa hana.... wajinga tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mama watano we noma mkuuBibi kanyang'anywa na kigori mrembo mbichi tu sasa alijua kumzalia mtoto ndo angemnasa domo. Siku hizi kaacha bwebwe sasa mana dai mwingi. Anyway dai damu inachemka kwa mini amgande mama watano
Na kilichokianguza wewe ni ufinyu wa mawazoHabari,
Ni masikitiko yangu makubwa kuikosa Tuzo hii ya kimataifa kupitia msanii wetu pekee na Brand ya Afrika mashariki.
Bila kupoteza muda
Na hizi ni sababu zilimfanya Chibu Dangote
1) Hakuwa na kazi inayoeleweka ambayo ingemfanya aongeleke au jina lake lizunguke vichwani mwa watu
2) Kumanage wasanii kwake limekua pigo kubwa maana imemfanya aache kusonga mbele akiamini amefika na ni muda wa kusaidia wengine.
3) Kukosa baraka za mzazi mwenzake mama Tiffah kutokana na usaliti aliomfanyia mwenzake.
4) Kurise up kwa Alikiba.
5) Kuridhika na mafanikio
Hivyo Chibu ajipange upya upya ili arudi kwenye mstari.
Kweli kabisa mkuuUnafki tuuweke pembeni mtu ambaye alistahili kuchukua hiyo tuzo ni aidha wizkid au yemi alade. Diamond hakuwa na hit song kulinganisha na hao wawili kwa hiyo kwangu mimi hakustahili kupata tuzo. Tatizo la hizi tuzo za siku hizi kutegemea kura za mitandao ya kijamii zinanyima fursa ya wanamuziki wanaojua muziki kupata recognition na awards stahiki wale wenye wafuasi wengi mitandaoni ndiyo ambao wanabeba tuzo kila kukicha lakini kimuziki watupu kabisa.
[emoji14] [emoji14] [emoji14]Team Chibu tunajazba saana aiseh,
Sa skia kuibuka kwa Alikiba kumepunguza attention ya Chibu kwani wengi wameanza kumfuatilia kiba coz alikua na hit song kwa kipindi hiki, pia
Shombo za chibu juu ya leble ya kiba pia imepunguza moyo wa kum vote, mbaya zaidi ile chapuo aliyoifanya kiba ndio iliyoharibu kabisaaa.
Panua bichwa ilo nikuingize material
Shida hakupewa talaka, na pia mtalaka hatongozwi, wali hauna kiporoMke wa mtu si alishaachika au unajisaulisha
sababu ya tatu sijaielewa naona haina mashiko hata mi nilijua ya baba yakeSbabu ambayo inaleta mantiki kidogo ni ya kwanza. Zingine zote porojo zako tu. Siku zote kwenye ushindani yupo mshindi mmoja. Msanii mwingine aliyekuwa akipewa nafasi kubwa ni Wizkid. Mbona naye kapigwa chini na ana kazi nyingi tu Kimataifa?