Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
-
- #21
umeandika umbeya bira kufanya uchunguzi,kama umefanya uchunguzi umeandika kwa chuki zakijinga sana.
Haya kama baraka ni izo hapo alizipata kwa mama tiffah.uo usaliti unaousema wewe kaufanya diamond ni upi? Kwa nani? Lini? Wapi? weka ushaidi usiandike kwa kusoma magazeti ya WEMBE na SHIGONGO.
We ujui??Kwani diamond kakosa tuzo ??
Ok poa nishakupangua kwa hoja yako ya 3 nasubir hayo material.Sa sema wewe basi
Haya sema wewe basi msemaji wake.
Tulia na ujipabue nikuingize material usiwe shabiki uchwara.
Kabisa. Ukiacha ile ya kwanza, ya kutokuwa na hit singles za kujulikana kimataifa. Mambo ya mama Tiffa ni hisia za mleta mada tu...very foolish reasons!
to me wewe jamaa bado ujui muziki, diamond sio kwamba amefanya kosa jamaa kajitoa sana kapiga show kuliko msanii yeyote ndani ya Tanzania.....let me tell you mimi diamond simpendi ila biashara ya muziki anaijua,sidhani hata kama unafuatilia kwanini jamaa alieshinda kashinda he has been staying there jamaa ame promote sana muziki wake ulaya,...ana part na kina pdiddy,joe cole......for the last 3month labda anapiga show kila weekend ulaya, house music vs bongo flavor....Tanzania tutafika tu kingereza kinatusumbua lakini jitihada zakina diamond na wengine zitasaidia kufanikisha music wetuHabari,
Nimasikitiko yangu makubwa kuikosa Tunzo hii yakimataifa kupitia msanii wetu pekee na brand ya Afrika mashariki.
Bila kuooteza muda
Na hizi ni sababu zilimfanya chibu dangote
1) hakua na kazi inayoeleweka anbayo ingemfanya aongeleke au jina lake lizunguke vichwan mwa watu
2) kumanage wasanii kwake limekua pigo kuubwa maana imemfanya aache kusongombele akiamini amefika na ni muda wa kusaidia wengine.
3) kukosa baraka za mzazi mwenzake mama tiffah kutokana na usaliti alionfanyia mwenzake.
4) kurise up kwa Alikiba.
5) kuridhika na mafanikio
Hivyo chibu ajipange upya upya ili arudi kwenye mstari.
Haya tueleze kinachomuangusha huyo boss wako kibakuli maana kapotea Sana hata sura yake nimeanza kuisahau sasa.Habari,
Ni masikitiko yangu makubwa kuikosa Tuzo hii ya kimataifa kupitia msanii wetu pekee na Brand ya Afrika mashariki.
Bila kupoteza muda
Na hizi ni sababu zilimfanya Chibu Dangote
1) Hakuwa na kazi inayoeleweka ambayo ingemfanya aongeleke au jina lake lizunguke vichwani mwa watu
2) Kumanage wasanii kwake limekua pigo kubwa maana imemfanya aache kusonga mbele akiamini amefika na ni muda wa kusaidia wengine.
3) Kukosa baraka za mzazi mwenzake mama Tiffah kutokana na usaliti aliomfanyia mwenzake.
4) Kurise up kwa Alikiba.
5) Kuridhika na mafanikio
Hivyo Chibu ajipange upya upya ili arudi kwenye mstari.
Haya anzeni basi kujadili kwanini wizkid kakosa, tuanze kuchangia.Huyu kijana hakustaili kupata tuzo ya Bet acheni mbwembwe..hana kiwango cha kuchukua tuzo kama hii tuweni wakweli...mtu pekee wakujadili kwanini amekosa ni wizkid
msipende mfananisha black coffee na vitu vya kijinga kijingaKwani diamond kakosa tuzo ??
sidhani kama hili lina msukumo wowote kwenye medani ya kimataifa......labda sijui influence ya alikiba kwenye BET na ushindi wa Black coffee na influence ya mzazi mwenzake kwenye BET...!!!Habari,
3) Kukosa baraka za mzazi mwenzake mama Tiffah kutokana na usaliti aliomfanyia mwenzake.
4) Kurise up kwa Alikiba.
Hivyo Chibu ajipange upya upya ili arudi kwenye mstari.
Bravoooooo! Such a honest guy [emoji119] sio huyu anayekuja na stori za zari kuchepukiwato me wewe jamaa bado ujui muziki, diamond sio kwamba amefanya kosa jamaa kajitoa sana kapiga show kuliko msanii yeyote ndani ya Tanzania.....let me tell you mimi diamond simpendi ila biashara ya muziki anaijua,sidhani hata kama unafuatilia kwanini jamaa alieshinda kashinda he has been staying there jamaa ame promote sana muziki wake ulaya,...ana part na kina pdiddy,joe cole......for the last 3month labda anapiga show kila weekend ulaya, house music vs bongo flavor....Tanzania tutafika tu kingereza kinatusumbua lakini jitihada zakina diamond na wengine zitasaidia kufanikisha music wetu
diamond hana kosa kusaidia wasanii wenzie, na ina bidi awasaidie sana maana anabonge la exposure, ana hela ana studio ana good management.....hauwezi kuwa juu milele ndicho kinachomfanya awasaidie wasanii wenzie akibuma hela itapatikana katika wasanii wa label yake....
matter of fact....sipendi muziki wake ila nakubali sana hustle zake na mungu amuongezee zaidi....
Acha kumtetea,acha kumsemea,nimemwambia mpuuzi kutokana na sababu zake no3-4 na 5. Nikampa na sababu zake ndio mana ameniita ivyo zaid ya mara 1 tafathar niombe radhi.I think he over looked on the status. 'Makilo' akathani ni 'makalio'. So don't blame him plz! !
aTANISUGUA GAGA BAE BLACK COFEEE. HahahaaaaaaaChuki binafsi umefurahia
Huyo alie ipata
Atakusaidia nini!!
kahawa nyeusiWengine tupo porini. Who got the award??