Ingekuwa hoja basi angeshinda WizKid! Hoja zingine zimekaa kiporojo zaidi... kwa mfano, suala la Ali Kiba cjui lina uhusiano gani na kutopata tuzo kwake unless kama tu ulitaka ku-force kumlinganisha nae ingawaje unafahamu mmoja ni BET nominee in two years row na mwingine tangu dunia hii ianze hajawahi kuwa nominated!1) Hakuwa na kazi inayoeleweka ambayo ingemfanya aongeleke au jina lake lizunguke vichwani mwa watu
nashangaa huyu Aliko Dangote bilionea wa Nigeria ameanza lini kuimbaIvi kumbe dangote ameanza kuimba????
Zari mbaguzi badala ya kusema back to Tanzania...hakuna nchi inayoitwa east africaumeandika umbeya bira kufanya uchunguzi,kama umefanya uchunguzi umeandika kwa chuki zakijinga sana.
Haya kama baraka ni izo hapo alizipata kwa mama tiffah.uo usaliti unaousema wewe kaufanya diamond ni upi? Kwa nani? Lini? Wapi? weka ushaidi usiandike kwa kusoma magazeti ya WEMBE na SHIGONGO.
wazima vwawa hapo?Kwa haya uliyoandika jiandae kwa mvua ya matusi,wanakuja soon kwanza waamke na wengine watoke kanisani....