Mi kilichonifanya niache forex, kuna siku nilikua natrade short, na chart zilikuwa zinaenda down in my favour, zimepass 21 pips, badala ya kuonyesha profit of 21 usd, instead ikawa inaonyesha loss of 21 usd, nikashangaa sanaa.. nikawacheck customer care, naona wananijib siasa nyingi. Baadae price line ikaoverturn ikawa above the selling price line(ask), heeh! Naona still inaonyesha ñegative.. ikiwa above, negative(loss), ikiwa below, negative(loss).
Nikagundua hawa jamaa kumbe wanao uwezo wa kucontroll chart na balance wanavyotaka, wakiamua. Nikaclose trade, nikawithdraw balance yote iliyobaki, nikaachana nao, shenzi sana. Nilimind kinoma.