Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

Haya uliyoyaandika hapa sio mapya hapa jf mkuu,walishaandika wajuaji kama wewe zamani sana.
 
πŸ˜‚ hii wiki mna nini na forex..?

Mkuu kalime tu ila Kuna watu wanatrade mpk Sasa wana miaka 8 kumi n.k mbona wao hawaachi!! Nini nyuma ya pazia..?
Hao hawaachi kwa sabaabu biashara ya forex ni kamari au bahati na sibu. Waliokaa muda mrefu tayari wako addicted wakingoja siku ya ku"hit" jackpot. Lakini kum,buka ku"hit" jackpot katika mchezo ambao zimenunuliwa tiketi millioni 25 uwezekano wa kupata jackpot ni 1 in 25,000,000. Ndiyo maana michezo kama hii huko USA, Ulaya inaweza ikapita mwezi au miezi miwili hadi tatu bila jackpot. Wiki tano au sita zilizopita bahati na sibu USA ilifikia $ billioni moja. Na jinsi kitita kinavyopanda ndiyo watu wanakati ticket nyingi, but in the end only one ticket wins.
 

Kama ni kweli hongera kutoa dollar 1000 hadi 46000 sio mchezo maana wengi wanaoitetea forex hata haiwapi faida. Wanaitetea tu sababu wanafanya. Ila kiukweli kupata faida kwenye forex ni ngumu sana.
 
Kama ni kweli hongera kutoa dollar 1000 hadi 46000 sio mchezo maana wengi wanaoitetea forex hata haiwapi faida. Wanaitetea tu sababu wanafanya. Ila kiukweli kupata faida kwenye forex ni ngumu sana.
Is real tough la sivyo kila mtu angekuwa millionaire, ni wachache sana wanaotengeneza pesa kwenye forex na wengi wao huwezi kuwaona wakifundisha au wakiongea kuhusu forex
 
You mould it to fit into your personality character. Ila it takes times ,blood,sweat and tears mpaka ufikie level ambayo utaitegemea
 
Broker gani huyo
 
 
 
Tatizo kubwa ni kwamba faida unayoipata kwenye Forex unatakiwa uidiversify...na kuipeleka kwenye biashara nyingine ambazo zitakuwa zinakuingizia pesa kila simu, most successful and real traders ninaowafahamu mimi ndio wanachokifanya. Lakini nyinyi faida mnayoipata mnafikiria kula Bata, Show off na kupoteza pesa kwenye Liabilities na Vitu kama magari na Simu za bei mbaya ambavyo havigenerate income yoyote ile.
There is Bull Market and Bear Market sasa lazima uwe na mbinu za kusurvive misimu yote hiyo.
Forex na Tradi g kwa unumla ni biashara kama zilivyo biashara nyingine ila huwezi elewa hivyo kama umeingia kwenye hiyo biashara kwa mindset ya "get rich quick".
Pia msidanganyike na wahuni wanaojipost post mindandaoni kama vile ni successful traders..wengi ni scammers. The most successful traders hawana upuuzi wa show off za mitandaoni.
 
issue sio kutrade tuuu ila issue nikwamba je itakufikisha kwenye malengooo?
muhimu iashara iwe inaweza kukua, sasa ukiwa na biashara ambayo haijarishi umeielewa kiasi gani bado hauna uhakika wa faida kipengele tayari hicho
The Mana who is incapable of doing something mustn't interfere the man who is capable of doing that thing.
Two men , one said is impossible and another man said is possible. They're two equally right.
Wewe Ni wangapi kisomo ama biashara wote huwa Zina wapa faida ama malengo.


Nothing is guaranteed in this world. Nothing is quite really white and black. Remove your white& black thinking.

Your own mindset is the greatest enemy. We've got an enemy and is within us since enemy outside can't do us harm.
 
Forex Sio Kwa Ajili Ya Kila Mtu Mzee... We Ungeachana Nayo tu, Usitumie Nguvu Nyingi Namna Hiyo..
 
[emoji847]Inshort forex ni magic, unaweza shikilia ORDER over 7days ni us-earn hata Dollar, ila ni mwendo wa kucheza na graphs tu!! [emoji23]
Ni biashara ambayo inahitaji trading skills ili uweze kuifanya,lakini sasa kinyume chake wengi wanafail hapo kwenye kipengele cha skills. Wanaingia kwenye trading wakiwa wametanguliza tamaa mbele🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…