Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Pia nani naichukia sana udsn tena naiichukiia kupita maelezo udsm nichuo kilichodhalisha mafisadi,watendaji na washauri wasio weka maslahi ya taifa mbele leo hii watendaji wandamizi na viongozi waandamizi wote wamevunywa udsm na ndio wameifikisha nchi hapa tulipo, shame on you udsm alumni. nawachukia sana toka moyoni mwangu nchii yangu inangamia kwa ajili yenu.pongezi kwa chuo changu DIT hakika umenifanya kuwa injinia makini,kiutendaji live long life DIT Alumni, dumu milele daima Dar-es salaam Inst of Technology
bila shaka ulipo kuwa unapost nyuma yako kulikuwa na PAIPU IKIKUPEKECHA?
asante sana ndugu ntafanya mchakato nije hapo ditNenda DIT hakika najivunia kuwa alumni wa DIT civil eng ukifanikiwa nenda kasome sana mkuu wangu utajivunia elimu utakayopata.
Pia nani naichukia sana udsn tena naiichukiia kupita maelezo udsm nichuo kilichodhalisha mafisadi,watendaji na washauri wasio weka maslahi ya taifa mbele leo hii watendaji wandamizi na viongozi waandamizi wote wamevunywa udsm na ndio wameifikisha nchi hapa tulipo, shame on you udsm alumni. nawachukia sana toka moyoni mwangu nchii yangu inangamia kwa ajili yenu.pongezi kwa chuo changu DIT hakika umenifanya kuwa injinia makini,kiutendaji live long life DIT Alumni, dumu milele daima Dar-es salaam Inst of Technology
hahahaa,hivi kwanini masters ya mzumbe inapondwa sana,,,,???
Cc Baba V tusaidie kaka,maana umelonga hapa kuwa udsm wapo vizuri
Hapo panahitaji comparative analysis ya kina otherwise zitalipuka ngumi humu na mimi ninaumwa niko kwenye dozi ugomvi siwezi lol...
Pia nani naichukia sana udsn tena naiichukiia kupita maelezo udsm nichuo kilichodhalisha mafisadi,watendaji na washauri wasio weka maslahi ya taifa mbele leo hii watendaji wandamizi na viongozi waandamizi wote wamevunywa udsm na ndio wameifikisha nchi hapa tulipo, shame on you udsm alumni. nawachukia sana toka moyoni mwangu nchii yangu inangamia kwa ajili yenu.pongezi kwa chuo changu DIT hakika umenifanya kuwa injinia makini,kiutendaji live long life DIT Alumni, dumu milele daima Dar-es salaam Inst of Technology
hahahhaahahaaa,umenchekesha sana asubuhi hiiii,yaani umejitetea kiutu uzima sana,labda New Manase mwenyewe aje atuambie maana ndo alochagiza hilo la maharage ya mbeya kufananishwa na Masters za Mzumbe
ungeomba udom kilaza mkubwa wewe... Na wamekufanyia fais sana sema 2 hujui,shukuru wamekukataa ndugu nenda mukobs, na vile vya mkabala na guest maarufu.
No wonder you hate UDSM.After all those bolded parts, you were not fit for it. Wangekula kichwa. better the path you chose.
Wewe wasema....kuwa makini sana mdogo wangu chunga sana kauli za mdomo wako kwa kipindi chote cha maisha yako.
Umezaliwa guest wewe....no wonder
Pia nani naichukia sana udsn tena naiichukiia kupita maelezo udsm nichuo kilichodhalisha mafisadi,watendaji na washauri wasio weka maslahi ya taifa mbele leo hii watendaji wandamizi na viongozi waandamizi wote wamevunywa udsm na ndio wameifikisha nchi hapa tulipo, shame on you udsm alumni. nawachukia sana toka moyoni mwangu nchii yangu inangamia kwa ajili yenu.pongezi kwa chuo changu DIT hakika umenifanya kuwa injinia makini,kiutendaji live long life DIT Alumni, dumu milele daima Dar-es salaam Inst of Technology
kiuno kweli wewe,pitia upya uone umeandika uhalo kwa levo ya hataree... DIT NA UDSM,kuwa na adabu knyesi wewe. Labda kama utalinganisha Dit na Cass

we hata kuandika hujui,afu bado unakaa kuiponda udsm...??ebu kaa kimya,maana utachekwa.
kiuno kweli wewe,pitia upya uone umeandika uhalo kwa levo ya hataree... DIT NA UDSM,kuwa na adabu knyesi wewe. Labda kama utalinganisha Dit na Cass
inaonekana we unachunga sana kauli....kione kilivyo kama toto kijiwe stiki... DIT.. Ni ya kuilinganisha na Ud? Au ndo kuwashwa nyo.o,ko wewe. Njoo COET NIMEJAA TELE KAMA ULIVYO MTWANGIo wangu.