Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Pia nani naichukia sana udsn tena naiichukiia kupita maelezo udsm nichuo kilichodhalisha mafisadi,watendaji na washauri wasio weka maslahi ya taifa mbele leo hii watendaji wandamizi na viongozi waandamizi wote wamevunywa udsm na ndio wameifikisha nchi hapa tulipo, shame on you udsm alumni. nawachukia sana toka moyoni mwangu nchii yangu inangamia kwa ajili yenu.pongezi kwa chuo changu DIT hakika umenifanya kuwa injinia makini,kiutendaji live long life DIT Alumni, dumu milele daima Dar-es salaam Inst of Technology
unaleta siasa sasa bwana mdogo