New Manase
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 294
- 39
Yani nimechaguliwa udsm(baE) na nacte kutokana na udsm kuwa na nafasi alaf leo naambiwa i am not admitted is this fair?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I went there inorder to get my admission letter, they told me that, then nkaenda nacte they told me the same thing!how did it happen
kauli zmenishinda yani makauli mabovu utazani leba dah! Yani kwa jinsi ninavyoona ndo basi tena wameshanipotezea cwez lazmisha wenda cyo fungu langu!ukipata admision utarudisha mapenzi au ndo imetoka?
unadhani naeza kupata admission letter?mbona tatzo la kawaida sana hilo.
Nijigambe na chuo tena mimi nimemaliza hapo hapo udsm alaf tena nijigambe hamna k2 kama hcho, kwanza mm popote kambi bt udsm hii cyo cfa nzurUsichukie udsm bali chukia majigambo uliyofanya mtaani kwenu baada ya kuskia umechaguliwa udsm. Ona sasa utawaambia nn uliowaacha kitaa..
Anyway pole sana.
Nijigambe na chuo tena mimi nimemaliza hapo hapo udsm alaf tena nijigambe hamna k2 kama hcho, kwanza mm popote kambi bt udsm hii cyo cfa nzur
nimemaliza DIPLOMA nduguHueleweki mkuu kama umemaliza udsm admission ya nini tena?
3.9 ndugukwan ulikuwa na GPA ya point ngapi? Na je hawakupa sababu ya kutokuwa admitted? Hebu funguka vizur
unadhani naeza kupata admission letter?
Yani nimechaguliwa udsm(baE) na nacte kutokana na udsm kuwa na nafasi alaf leo naambiwa i am not admitted is this fair?
Nachukia coz wamenipotezea mda ni bora wangeniambia mapema sasa ivi cjui nianzie wap?
Ndugu kwani nimekutukana???ungeomba udom kilaza mkubwa wewe... Na wamekufanyia fais sana sema 2 hujui,shukuru wamekukataa ndugu nenda mukobs, na vile vya mkabala na guest maarufu.
Asante ndugu yangu kwa kunitia moyounapata,mwaka jana kuna mshikaji wangu ila yeye aliingiziwa mkopo main campus hali ya kuwa alichaguliwa muce,cha msingi nenda kwa Director of undergraduate studies atakusaidia.
Ndugu mbona unanitukana??? Sina tatizo na wewekaanzie ruko then nenda kwa Sangoma pimbi wewe.