Kilichonifanya nikaacha kuvaa suruali za kitambaa

Kuna kipindi nilinunua suruali ya kitambaa nikaona ni pana mno nikaenda kwa fundi aninyongee ibane kidogo!
Siku nimeivaa niko town naruka mtaro ile kutua tu ngoma ikachanika kuanzia matakoni hadi kwenye zipu ya mbele
Nilibaki nimesimama vilevile kama askari kwenye gwaride
Nikaita boda ikanifuata mpaka nilipo nikapanda chap kama flash aliponishusha getini kwangu nilishuka kama flash nikiwa wima nikampa nauli
Ila yule boda alibaki kunishangaaa sana wakati anaondoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kipindi nilinunua suruali ya kitambaa nikaona ni pana mno nikaenda kwa fundi aninyongee ibane kidogo!
Siku nimeivaa niko town naruka mtaro ile kutua tu ngoma ikachanika kuanzia matakoni hadi kwenye zipu ya mbele
Nilibaki nimesimama vilevile kama askari kwenye gwaride
Nikaita boda ikanifuata mpaka nilipo nikapanda chap kama flash aliponishusha getini kwangu nilishuka kama flash nikiwa wima nikampa nauli
Ila yule boda alibaki kunishangaaa sana wakati anaondoka
JFs haichoshi aisee
 
sema kila mtu ako na choice yake, binafsi mwanaume anayevaa suruali za vitambaa simuelewi.
Tuvae nini tena binti yangu??🤣,hizo jeans na aina nyingine wengine tunavaa kwa matukio or mara moja moja

Suruali ya kubana wengine huwashikilia mwili sana ndio maana huchanika
 
Nina miaka 7 sijavaa suaruali za vitambaa.hizo waachieni wadingi wavae
 
Imepita Miaka 10 Sasa Since nivae Trouser ya Kitambaa!
 
Back
Top Bottom