Kilichonifanya nikaacha kuvaa suruali za kitambaa

Hamjaniona mimi
Suruali vitambaa kwenda mberee
tai pana rangi nyingi
Sarawili juu ya kitovu
kichwan nna PUSH Back moja matata

Nikienda kwa fundi napima kiuno tu kwingine kote fundi anajipimia
 
unabana suruali mtoto wa kiume unatafut nn..... suruli uiyoweza vuka nayo mtaro unaivaje utoke
 
nikivaa najiona kama nipo wazi nkmebakia na boxer
 
Mwanaume vaa kadeti japo vitambaa wanasisitiza sana makazini
 
Tuvae nini tena binti yangu??🤣,hizo jeans na aina nyingine wengine tunavaa kwa matukio or mara moja moja

Suruali ya kubana wengine huwashikilia mwili sana ndio maana huchanika
jeans sio mpaka ikubane bwana hao wanaovaa modo wakikua wataacha shida sielewi tu mimi wa kwangu anayo moja kama roho tena huivaa kwa nadra sana na akiivaa akirud lazima asiirudie.
 
Vijana wanabana sana suruali hata akivaa anachongeka kama sindano na vimiguu kama kunguru pori...

Kuhusu uvaaji wa jeans,cadet n.k inategemea na lifestyle ya mtu ,majukumu n.k
 
kabisa mara mia avae cadet kuliko hiyo halaf ukute mtu ni mwembamba kachonga modo sjui wanajionaje
 
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…