Kilichonikuta baada ya kumtafuta ex wangu

Kuna mwamba nilimfuma kama wewe nikapita pharmacy nikanunua KY na nikapita maduka ya Sunna nikanunua vumbi la Kongo. Nikajenga nae yule mwamba urafiki kama sijui anataka kumla mwenza wangu. Wiki 2 zilizopita kaingia 18 zangu nimekwenda nae bar kama rafiki nikamnunulia Safari lager nikaweka panadol nusu mwamba chaliiii nikavuta pembeni nikatoa KY na vumbi la Kongo, mama..e kahama mji na kawacha usumbufu kwa mwenza wangu🤣.
Kuna mwamba alifanyiwa hivyo nae alikimbia mji. Wanawake wapo wengi sana kuanzana na mke wa mtu ni kujitaftia balaa.
 
Wakuu mulibwanji?

Huku mambo ni mwagalayoooo.

Leo baada ya miaka 5 ya kuachana kwa matatzo na mtoto wa kinyiramba nimemtext leo kwa mara ya kwanza.
Nilianza kwa kumtext kwamba if i made u cry am sorry akajbu kwa kuuliza we nani nikajtambulisha rasmi tukaanza kuchart akanambia ameolewa yupo moshi. Na ana watoto wawili, akauliza khs mimi nikamjbu sjaoa na sina mpango huo kwasasa.

Kilichofata akaanza lawama nyng sn wakati tuko wote mambo mabaya nliyomfanyia mpk leo yanamuuma sn mi skuwa na maneno mengi zaidi ya kumjbu am sorry na kukubaliana na lawama zote na kustahili kuhukumiwa.

Akanambia ameshanisamehe niwe na amani tu. Nikamshukuru na kumtakia kheri yeye na familia yake ksha nikamwambia ninasktika na kuumia sana kwani.

Amekumbushia mambo yaliyopta wkt mi nimeamua tu leo kumsalimia. Akajbu hapana ye kaonyesha tu hisia zake vile aliumia nikamjbu sawa na nashukuru sn, nikatulia nikashangaa amepga simu nlipopokea tukasalimiana tu na nikamuliza nambie sasa.

Akasema hamna ktu mi nkamwambia basi takucol tommorow nipe muda mumeo aspokuwepo akajbu muda mzuri mchana nikamuaga.

Wakuu huyu ex inaelekea bdo ananihtaji au najdanganya tu?
NB: SIWEZI TEMBEA NAYE TENA NI MKE WA MTU SASA.
Chapa ilale
 
Unachokitafuta utakipata...

Maziwa ya siku hizi hayaondoi sumu...
Na umuambie kabisa kwamba sisi tunaoyakamua tukishatenga ya kwetu pembeni yale ya dukani lita 10 tunachanganya na maji lita 16.
 
Vile namuuliza X wangu ni muda gani mume wake anakuwa hayupo nyumbani ili mimi niweze kuwa na muda nae👇😁😁😁
AAgvmL.jpeg
 
Kuna mwamba nilimfuma kama wewe nikapita pharmacy nikanunua KY na nikapita maduka ya Sunna nikanunua vumbi la Kongo. Nikajenga nae yule mwamba urafiki kama sijui anataka kumla mwenza wangu. Wiki 2 zilizopita kaingia 18 zangu nimekwenda nae bar kama rafiki nikamnunulia Safari lager nikaweka panadol nusu mwamba chaliiii nikavuta pembeni nikatoa KY na vumbi la Kongo, mama..e kahama mji na kawacha usumbufu kwa mwenza wangu🤣.
Mfiraj* na mfirwaj* wote ni mashoga.

Ila kapata alichokitaka pumbavu zake. Natumai ulimpiga picha ili kila akitaka kujaribu kujifanya kibolo dinda akumbuke ukuni wa makalio ulivyomuingia.
 
Tumebwanji.

Mkuu, huyo manzi hakuhitaji bali wewe ndo unamuhitaji

Wanawake wamejaa kitaa unajichagulia kwa mafungu

Kama nyanya watano jero na chenchi unarudishiwa,na ukilia sana

Unapunguziwa bei
Akiielewa hii itamsaidia kujiupusha na majanga yanayomnyemelea.
 
Wakuu mulibwanji?

Huku mambo ni mwagalayoooo.

Leo baada ya miaka 5 ya kuachana kwa matatzo na mtoto wa kinyiramba nimemtext leo kwa mara ya kwanza.
Nilianza kwa kumtext kwamba if i made u cry am sorry akajbu kwa kuuliza we nani nikajtambulisha rasmi tukaanza kuchart akanambia ameolewa yupo moshi. Na ana watoto wawili, akauliza khs mimi nikamjbu sjaoa na sina mpango huo kwasasa.

Kilichofata akaanza lawama nyng sn wakati tuko wote mambo mabaya nliyomfanyia mpk leo yanamuuma sn mi skuwa na maneno mengi zaidi ya kumjbu am sorry na kukubaliana na lawama zote na kustahili kuhukumiwa.

Akanambia ameshanisamehe niwe na amani tu. Nikamshukuru na kumtakia kheri yeye na familia yake ksha nikamwambia ninasktika na kuumia sana kwani.

Amekumbushia mambo yaliyopta wkt mi nimeamua tu leo kumsalimia. Akajbu hapana ye kaonyesha tu hisia zake vile aliumia nikamjbu sawa na nashukuru sn, nikatulia nikashangaa amepga simu nlipopokea tukasalimiana tu na nikamuliza nambie sasa.

Akasema hamna ktu mi nkamwambia basi takucol tommorow nipe muda mumeo aspokuwepo akajbu muda mzuri mchana nikamuaga.

Wakuu huyu ex inaelekea bdo ananihtaji au najdanganya tu?
NB: SIWEZI TEMBEA NAYE TENA NI MKE WA MTU SASA.
Tulibwino njala tu ipweteka
 
Kwanza tueleze ni matatizo gani yalipelekea ukaachana nae.ili tusipotezeane mda mkuu.
 
Hivi hizo nguvu za kutafta watu mlio achana nao hua mnazitoa wapi
 
Back
Top Bottom