Kilichonikuta jana Bar

Kilichonikuta jana Bar

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Jana nimeenda BAR moja hivi nikakuta warembo wengi alaf kila mrembo kakaa na jamaa kwenye meza kujiangalia mimi sina kampani hata ya mhudumu nipige nae stori basi nilichokifanya nikaamua kutoa simu mfukon then nikajifanya kama naongea na mtu kwenye simu kwa sauti kubwa

"HALLOW....ASEEE NDO YEYE MKEO NIMEMUONA HAPA KAKAA NA JAMAA MEZA MOJA HAPA"

basi kilichotokea nilishanga wale warembo wote wametoka mbio tumebaki wanaume tu tunaangaliana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

walahi vocha ya kupewa tamuuu
 
hadithi yako inatufundisha nini? acha umbea bwana be a man
 
Hii ni Sawa na kuimba taarabu Kanisani, ni nyimbo lakini sio mahala pake
 
Jana nimeenda BAR moja hivi nikakuta warembo wengi alaf kila mrembo kakaa na jamaa kwenye meza kujiangalia mimi sina kampani hata ya mhudumu nipige nae stori basi nilichokifanya nikaamua kutoa simu mfukon then nikajifanya kama naongea na mtu kwenye simu kwa sauti kubwa

"HALLOW....ASEEE NDO YEYE MKEO NIMEMUONA HAPA KAKAA NA JAMAA MEZA MOJA HAPA"

basi kilichotokea nilishanga wale warembo wote wametoka mbio tumebaki wanaume tu tunaangaliana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

walahi vocha ya kupewa tamuuu

Very shallow
 
Back
Top Bottom