Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo ya kwenye magroup ya whatsapp bwana usilete hukuJana nimeenda BAR moja hivi nikakuta warembo wengi alaf kila mrembo kakaa na jamaa kwenye meza kujiangalia mimi sina kampani hata ya mhudumu nipige nae stori basi nilichokifanya nikaamua kutoa simu mfukon then nikajifanya kama naongea na mtu kwenye simu kwa sauti kubwa
"HALLOW....ASEEE NDO YEYE MKEO NIMEMUONA HAPA KAKAA NA JAMAA MEZA MOJA HAPA"
basi kilichotokea nilishanga wale warembo wote wametoka mbio tumebaki wanaume tu tunaangaliana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
walahi vocha ya kupewa tamuuu
Nipo teleSalama na za kupotea
una utani na LizaboniMods peleka hii kitu jukwaa la siasa.
Jana nimeenda BAR moja hivi nikakuta warembo wengi alaf kila mrembo kakaa na jamaa kwenye meza kujiangalia mimi sina kampani hata ya mhudumu nipige nae stori basi nilichokifanya nikaamua kutoa simu mfukon then nikajifanya kama naongea na mtu kwenye simu kwa sauti kubwa
"HALLOW....ASEEE NDO YEYE MKEO NIMEMUONA HAPA KAKAA NA JAMAA MEZA MOJA HAPA"
basi kilichotokea nilishanga wale warembo wote wametoka mbio tumebaki wanaume tu tunaangaliana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
walahi vocha ya kupewa tamuuu
HahahaJana nimeenda BAR moja hivi nikakuta warembo wengi alaf kila mrembo kakaa na jamaa kwenye meza kujiangalia mimi sina kampani hata ya mhudumu nipige nae stori basi nilichokifanya nikaamua kutoa simu mfukon then nikajifanya kama naongea na mtu kwenye simu kwa sauti kubwa
"HALLOW....ASEEE NDO YEYE MKEO NIMEMUONA HAPA KAKAA NA JAMAA MEZA MOJA HAPA"
basi kilichotokea nilishanga wale warembo wote wametoka mbio tumebaki wanaume tu tunaangaliana[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
walahi vocha ya kupewa tamuuu
Hahahah wewe wasema.