Kilichonikuta Sauna

Haya sawa kama wanikana..

Ila pamoja na umalaya wangu wa kunisingizia, sijawahi kukutongoza kichuna ww, proof mimi ni saint.. [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23]
Ehehheheehhe nisemee nisisemeeee sema thuuuuuuu
Mwite na mzigua awe shahidi
Kwa id hii sawa hujawah ila zile zingine sasa
 
Ehehheheehhe nisemee nisisemeeee sema thuuuuuuu
Mwite na mzigua awe shahidi
Kwa id hii sawa hujawah ila zile zingine sasa
Thuuuuuuu....
Mzigua90 ukuje huku uwe shahidi..

Mie sina id nyingi niko na id moja tu, wadhani mie kama wewe mwenye id 5[emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
hiv una umri gani wewe mama sabrina..............
 
Inaonekana ulikuwa na kiu kali sana ,na ungeweza kuzimia kama sio Sauna
 
Mama kuchetuka nasubiri Uzi wako wa jioni nina hamu leo na mlaji hayupo usisahau kunitag maisha mafupi shoooo
Nimenza kukusalimu muda mrefu[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…