Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida yetuLete anaekera hatasoma. Akijibu kapenda.
Dawa yao na sisi kuwapanga tu. Tuheshimiane.Mmetupanga humu halaf tunawachora tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Huku bwana raha ni kwamba hata bwana ako akienda pm kwa mtu huwezi jua na wala aliefuatwa hawezi jua kama huyo mwanaume ana wake.Kama kawaida yetu
hapo sasa unetundea haki sisi wengine ..mkuuWapo wenye nafuu wanazidiana tu kuumwa
Hujamsoma vizur kasema wanaume wa humu ni mamende halafu akasema wanaume wa humu ni malaya...Mende sio malaya. Mende ni kama basha. Wazee wa kuruka ukuta
Wangapi, mama sabrina nitake radhi bhana, mie nimempamga nani na nani masikin ya mungu kijana wa watu saint mie. [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Mmetupanga humu halaf tunawachora tu
Teh teh teh...Dawa yao na sisi kuwapanga tu. Tuheshimiane.
HeheheheDawa yao na sisi kuwapanga tu. Tuheshimiane.
Mtoeni jamani hayo maji atachanganyikiwa.Mama Sabrina nyuzi zako burudani sana😀😀
mpaka leo hujapata wa kukutoa maji? basi nadhani dokta anaweza fanikisha hilo😉
Hehehehehe unajiteteaa mweee unajiwahi sioWangapi, mama sabrina nitake radhi bhana, mie nimempamga nani na nani masikin ya mungu kijana wa watu saint mie. [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Furahia babaMama Sabrina nyuzi zako burudani sana😀😀
mpaka leo hujapata wa kukutoa maji? basi nadhani dokta anaweza fanikisha hilo😉
Furahia baba
kwa jinsi wadau wanavyojisifu kwenye hiyo sekta humu ndani nikajua watakuwa washalishughulikia tatizo lakeMtoeni jamani hayo maji atachanganyikiwa.
Hahaa... Hapana, mie ni saint hata wewe wanijua.Hehehehehe unajiteteaa mweee unajiwahi sio
Sikujui weweHahaa... Hapana, mie ni saint hata wewe wanijua.