Mzawa Nation
Member
- Feb 15, 2017
- 50
- 53
- Thread starter
- #21
Huyo muuza karanga nae LOFA, hajaweka mahesabu ya ungo/kapu lake. So....ww bado ni wa born town, wala usiwaze.
Kaka ilo kapu hata jero huuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo muuza karanga nae LOFA, hajaweka mahesabu ya ungo/kapu lake. So....ww bado ni wa born town, wala usiwaze.
Nigee pakti 2Kuna muuza karanga kanifanyia umafia hadi nimejishangaa maana Nilikua najiamini kuwa me born town. Nimenunua Kwake karanga za 100 kumbe mfukoni nilikua na msimbazi moja tu. Basi ameniomba nimsubiri akatafute change me nibaki na kapu lake la karanga. Sasa ni masaa mawili tangu aondoke hajarudi. Nimepiga hesabu karanga zilizopo ni za 10,000 kwa hiyo hapa ndo nimeanza kuzitembeza ili nirudishe ten yangu. Maisha haya* jamani
Nigee pakti 2
Peleka home wakaungie mboga hasa kisamvu au maharageZa kuchota kaka cyo za kufunga
Kala hasara huyu muuza karánga maana bado gharama za hilo kapu lililohidh hizo karanga
Aisee wee jamaa, yaani nimecheka hadi ushuzi. Na hivyo unavyojibu comments za wadau, ndio unanimaliza kabisa.