Kilichonitokea leo kwa muuza karanga

Nigee pakti 2
 
Kala hasara huyu muuza karánga maana bado gharama za hilo kapu lililohidh hizo karanga
 
Aisee wee jamaa, yaani nimecheka hadi ushuzi. Na hivyo unavyojibu comments za wadau, ndio unanimaliza kabisa.
 
Aisee wee jamaa, yaani nimecheka hadi ushuzi. Na hivyo unavyojibu comments za wadau, ndio unanimaliza kabisa.

Ushuz tena mkuu
Aya bhna ila mm bado napuyanga kurudisha msimbaz wangu
Alaf nmeuza buku Mia mbili tu mpk dk hii
Wateja hakuna wanakaz ya kuonja tu
Yan mpk zikiisha nitakuwa nmeonjesha kam za buku 6 hvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…