Kilichonitokea: Usitongoze ovyo Sinza

Kilichonitokea: Usitongoze ovyo Sinza

Halafu wakati namsaidia pale maziwa ni kama yalikuwa yamesimama na sikuona sidiria wakati wa tukio Full LAPA. Sijui alichezeshaje pale
hahaha hahahaha nimecheka sana, [emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] ,, aliyatunisha hayo maziwa,, na wewe si ulikuwa unafunga taili akakuinamia,, wewe ukawa unamchungulia kwa hivii,, so akacheza na impossible angle,,

ila poa tu, UKOME [emoji16] [emoji16]
 
Jioni ya jana nikiwa mitaa ya Mugabe nikamkuta mdada flan mweupeee kapata tatizo la pancha kwenye IST yake. Akaomba msaada, nikamsaidia kubadilisha tairi, kutokana na manukato (si shepu). Nikaomba namba daah dakika 5 nyingi akaanza kuniambia kama nataka kipochi-manyoya niandae 100,000/= nikalia lia (bargaining) akakubali kwa 60,000/= (ghetto kwake) nilipomaliza nikasema ngoja nikapoze koo KONA BAA duuh ghafla huyu hapa kumbe ndo kijiwe chake cha kuuza papuchix bei 15,000/MSHINDO. Nimelanguliwa kizembe 60,000-15,000=45,000

huko nako n kubet
 
Unalimpa demu 60? Cha mno nini hata elfu kumi ni kubwa sana siwezi na sijawah kufanya ujinga huo
Usimlaumu sana aise juzi kati nililala hotel moja pale jirani na Airport nilkuwa nawahi safari ratiba ikawa imekaa kushoto sana
Saa nne usiku niko peke yangu chumbani nikajisemea hivi siwezi pata demu wa fasta fasta walau nigonge viwili
Nika google mtandaoni nikakutana na namba za simu za wanawake kibao nikatest moja kuipiga ikaita nikapatana poa nikamwambia tuma picha yako whassp nikuone ulivyo demu kachomoa nikajisemea potelea mbali wacha aje yaliyonikuta sasa duh
Demu bonge nyanya nikamaliza yangu laki nzima imenitoka hivi hivi
Nikalaani sana nimerudi safari yangu juzi si nimemwona kona bara anauza kwa 20,000 niliishiwa nguvu
 
Z[emoji54][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Wajinga ndio wanaokwanguliwa
 
Baadaa ya hii sentensi nimeamini story yako ni ya kutungaaa......
Kumbe umestukia!!! Huyu jamaa ni mwenyeji sana wa mitaa ya Sinza, nimeona nyuzi kama mbili tatu anatoa maujanja ya milupo ya Sinza, sio wa kuibiwa kiboya hivyo, hii ni story tu!
 
Jioni ya jana nikiwa mitaa ya Mugabe nikamkuta mdada flan mweupeee kapata tatizo la pancha kwenye IST yake. Akaomba msaada, nikamsaidia kubadilisha tairi, kutokana na manukato (si shepu). Nikaomba namba daah dakika 5 nyingi akaanza kuniambia kama nataka kipochi-manyoya niandae 100,000/= nikalia lia (bargaining) akakubali kwa 60,000/= (ghetto kwake) nilipomaliza nikasema ngoja nikapoze koo KONA BAA duuh ghafla huyu hapa kumbe ndo kijiwe chake cha kuuza papuchix bei 15,000/MSHINDO. Nimelanguliwa kizembe 60,000-15,000=45,000
15,000 per Bao
Kama ulienda bao 4 basi hujaliwa unless ulienda bao less
 
Hahaha yani alianza mwenyewe kutanganza biashara?
 
Jioni ya jana nikiwa mitaa ya Mugabe nikamkuta mdada flan mweupeee kapata tatizo la pancha kwenye IST yake. Akaomba msaada, nikamsaidia kubadilisha tairi, kutokana na manukato (si shepu). Nikaomba namba daah dakika 5 nyingi akaanza kuniambia kama nataka kipochi-manyoya niandae 100,000/= nikalia lia (bargaining) akakubali kwa 60,000/= (ghetto kwake) nilipomaliza nikasema ngoja nikapoze koo KONA BAA duuh ghafla huyu hapa kumbe ndo kijiwe chake cha kuuza papuchix bei 15,000/MSHINDO. Nimelanguliwa kizembe 60,000-15,000=45,000
Hahahahahaha dah
 
Kumbe inalipa?!!!
Anamiliki IST kwa kutoza 15,000/=@ bao ! Hawataacha.
 
60,000 kwa papuchi ya dada poa??

....the hell is wrong with you?

You pussy starved or something?
Mkuu kuna dadapoa classic. Kama hujamng'amua hata kilo unadondosha man. Hv Mkuu hujawahi ona/sikia changu kaolewa? Sasa kama anawezaolewa nini Tshs 60,000/=.
 
Back
Top Bottom