Kilichonitokea: Usitongoze ovyo Sinza

Kilichonitokea: Usitongoze ovyo Sinza

Jioni ya jana nikiwa mitaa ya Mugabe nikamkuta mdada flan mweupeee kapata tatizo la pancha kwenye IST yake. Akaomba msaada, nikamsaidia kubadilisha tairi, kutokana na manukato (si shepu). Nikaomba namba daah dakika 5 nyingi akaanza kuniambia kama nataka kipochi-manyoya niandae 100,000/= nikalia lia (bargaining) akakubali kwa 60,000/= (ghetto kwake) nilipomaliza nikasema ngoja nikapoze koo KONA BAA duuh ghafla huyu hapa kumbe ndo kijiwe chake cha kuuza papuchix bei 15,000/MSHINDO. Nimelanguliwa kizembe 60,000-15,000=45,000
Hahaaaa haaaaaa Kweli Umelanguliwa....hahaaaa
 
Hahahaha, pole sana Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ungekuja kijiweni weekend ungekutana na jamaa yetu ni Uber anawajua wrote wa mitaa hiyo kuanzia Classic mpaka wa kawaida.

Tukiwa maskani hao tunawaona wakiwa katika harakati zao.
 
Okay
 
Back
Top Bottom