Kilichonitokea: Usitongoze ovyo Sinza

Kilichonitokea: Usitongoze ovyo Sinza

Jioni ya jana nikiwa mitaa ya Mugabe nikamkuta mdada flan mweupeee kapata tatizo la pancha kwenye IST yake. Akaomba msaada, nikamsaidia kubadilisha tairi, kutokana na manukato (si shepu). Nikaomba namba daah dakika 5 nyingi akaanza kuniambia kama nataka kipochi-manyoya niandae 100,000/= nikalia lia (bargaining) akakubali kwa 60,000/= (ghetto kwake) nilipomaliza nikasema ngoja nikapoze koo KONA BAA duuh ghafla huyu hapa kumbe ndo kijiwe chake cha kuuza papuchix bei 15,000/MSHINDO. Nimelanguliwa kizembe 60,000-15,000=45,000
😃😃😃
Dah mkuu ilo koo ulilokwenda kuliburudisha itakuwa lilikauka fastaaaa
 
Jioni ya jana nikiwa mitaa ya Mugabe nikamkuta mdada flan mweupeee kapata tatizo la pancha kwenye IST yake. Akaomba msaada, nikamsaidia kubadilisha tairi, kutokana na manukato (si shepu). Nikaomba namba daah dakika 5 nyingi akaanza kuniambia kama nataka kipochi-manyoya niandae 100,000/= nikalia lia (bargaining) akakubali kwa 60,000/= (ghetto kwake) nilipomaliza nikasema ngoja nikapoze koo KONA BAA duuh ghafla huyu hapa kumbe ndo kijiwe chake cha kuuza papuchix bei 15,000/MSHINDO. Nimelanguliwa kizembe 60,000-15,000=45,000
Nouma sana...
 
Unanikumbusha kipindi nakaa pale sinza madukani, kuna mshkaji wangu flani Jina kapuni maana ni mtoto wa kigogo mmoja wa ccm, hvy kidogo familia imemtenga kutokana ishu zake za magumashi, ila swala la hela yule jamaa hajawai kuishiwa...kuna siku tukaenda pale Lachaz bar sinza mori...kula sana Monde, sasa tukapata wapemba flani hivi mixer kama waarabu...tukawapiga sana pombe...walipoona tuko vizur financially wakatuganda..jamaa akilipa mixer anatoa na madolari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wale manzi wakaona yes hili ndio chimbo, kumbe J yuko na target zake, jamaa amekaa sana na wale matapeli wa kinageria kule south...basi mida tukaondoka nao wote wanne halafu tukaenda kupiga nao show katika lodge moja hv maeneo ya palestina...mzee tukaingia nao wote room moja sasa hy wataalamu sijui mtaitaje kwamba ni 3 some au 6, ila mambo yaliyotokea huko ni sodoma na gomora maana walikuwa wamelewa mbaya...tukala sana mambo, nikapitiwa na usingizi baadae kidogo jamaa ananiamsha namuuliza kulikon...anasema tusepe mjini hapa sijakaa vizur jamaa kashanishikia viatu...kumbe kakusanya makorokoro yote ya wale dada walet, simu hela [emoji848][emoji86][emoji86] tukasepa bado walikuwa hawana hata dalili za kuamka nikamuuliza kwa nn umefanya hvy akasema hawa mbwa juzi wameeniibia laki 2 zangu wakafikir sikumbuki sasa hv bila bila[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe na wale timing zao ilikuwa watuibie tu kawawai. Maisha ya sinza ni kama sinema.
duh kama filamu viie
 
Jioni ya jana nikiwa mitaa ya Mugabe nikamkuta mdada flan mweupeee kapata tatizo la pancha kwenye IST yake. Akaomba msaada, nikamsaidia kubadilisha tairi, kutokana na manukato (si shepu). Nikaomba namba daah dakika 5 nyingi akaanza kuniambia kama nataka kipochi-manyoya niandae 100,000/= nikalia lia (bargaining) akakubali kwa 60,000/= (ghetto kwake) nilipomaliza nikasema ngoja nikapoze koo KONA BAA duuh ghafla huyu hapa kumbe ndo kijiwe chake cha kuuza papuchix bei 15,000/MSHINDO. Nimelanguliwa kizembe 60,000-15,000=45,000
Nimecheka sana ulivyolanguliwa na huyo mlanguzi wako.Enzi za Sokoine ungeenda kumshtaki.
 
Back
Top Bottom