Duh! Naona ume-panic! Povu la nini?! You know what! Wakati wala sifahamu posts zako za zamani kuhusu hao watu zina-base wapi, kumbe wewe unanifuatilia what I write about Diamond!
Then ningekushauri rejea posts zangu kuhusu Zari na utagundua i've no problem with her and I was very disappointed by Diamond!!
However, hiyo haiwezi kunifanya nijitie upofu na kushindwa kuona uhalisia!! Nitakuwa mtu wa ajabu niseme eti shining ya Diamond inamtegemea Zari! How?
Diamond anatumia sana Instagram na ni very rare kukuta Zari akim-post Diamond!! Sasa kitakachofanya mwisho wa Diamond kwa sababu ya Zari ni nini?!
Halafu mambo mengine uwe unafikiri kabla ya kuongea... au hufahamu?
Zari kamwezesha Diamond kuwa Balozi?!
Diamond kawa Balozi wa Coca-Cola na Vodacom kabla hajaanza uhusiano na Zari! Hilo la karanga ni kihoja vile vile kwa sababu Zari kaanza uhusiano na Diamond wakati tayari Diamond akiwa na uhusiano mzuri na Clouds!
Sasa how come yeye awe ndie aliyempa mchongo?! Yaani Kusaga anamfahamu sana Zari kuliko Diamond?!
Danube??!! Kabisa ni Zari ndie kafanikisha issue ya Danube?! Si bora ungesema Makonda!! Au ni Zari ndie kawaunganisha Makonda na Diamond?!
Eti sifahamu lolote kuhusu Zari?! Kwahiyo wewe unamfahamu zaidi simply because Brookyln City College inatangazwa zaidi mitandaoni?!
Ni mitandao ipi hiyo inayokufanya uone ni big issue kutangazwa mitandaoni?! Nilitarajia ungesema chuo kinatangazwa sana in trade magazine... wewe unaniambia mitandaoni ambako yeyote anaweza kutangaza!!
By the way, hata kama chuo kinatangazwa sana mitandaoni, sasa hapo Zari anakuwa ana-trend vipi?
Tanzania kuna Zoom College, Azania College and the like!
Hivi vyuo vinatangazwa sana hadi kwenye tv na radio! Je, wamiliki wake wana-trend Tanzania hadi ionekane kutangazwa kwa Brookyln kutamfanya mmiliki wake nae awe ana-trend?
Zari alikuwa Bonge la Star UG?! Hivi we kweli unamfahamu Zari au nawe umemjulia ukubwani kama wenzako?!
By the time, Zari hakuwa BONGE la Star... she's just an average aliyejaribu kutoka kimuziki lakini muziki haukumtoa kivile! Na wala huo muziki hakufika nao mbali!
Kuhusu Internet, I'm very certain nimekuwa na access to Internet kabla yako manake hata kabla ya JF watu tulishakuwa tume-bang sana kupitia Yahoo/MSN Messenger then Dar Hotwire kabla ya Jambo Forum let alone Jamii Forums!
Mi Muhenga wewe!
But this's not about you and me... tunazungumzia majority ya Watanzania! Kwamba by the time majority hawakuwa na access to Internet!
Kwamba eti nisiwalinganishe WCB na Legends, I think you're missing the point!!
Issue hapa ni kwamba, if you have something for mass consumption, especially kama kitu chenyewe ni entertainment; utasikika hata pasipo na Instagram! Ukweli mchungu ni kwamba, ni hizo Bongo Flavor ndio hivi sasa zinafuatiliwa kuliko hizo Barukutu zako!
Kwahiyo hata leo hii endapo social media zote zitafungwa bado Artists watasikika kupitia radio, tv na hata magazeti!
Kwamba ina maana hizo tv na radio zitawatangaza WCB tu na kumbania Zari!
Duh! Kumbania kivipi? Hao WCB watasikika kwa sababu ya muziki wao; what about Zari?! Again, kwahiyo zikitangazwa biashara zake tu nae umaarufu wake utakuwa unaongezeka? Really?
Lemme say this: I respect Zari... very much! And I believe she'll come back!
That said, stop hizi mbwembwe za kurudia rudia about hizo biashara zake as if kuna kitu very special kwenye hizo biashara!! Watu wana mabiashara makubwa makubwa na yanatangazwa kila leo lakini hizo biashara hazijawahi kuwafanya kuwa maarufu!
Ukweli mwingine mchungu ni kwamba, for the time being, Zari ataendelea kusikika zaidi through Diamond kuliko kupitia hizo biashara zake!